Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ewe KIJANA mwenzangu wa KIUME. Naongea na wewe kijana mwenzangu uliye SINGLE kama Mimi. Kuna KANUNI 3 KUU za MAPENZI ya SIKU HIZI, bila hizo ni MAUMIVU TU.... 1. Tafuta hela. 2. Usiache kutafuta...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimekuwa nikikutana na wadada wengi wanapenda kuniweka friend zone ila nimekuwa nawatolea nje au kuwatongoza na kama akinikatalia nampotezea kabisa maana sijawahi kuwa na rafiki mwanamke ambaye ni...
17 Reactions
84 Replies
7K Views
Mim mwehu ndama kijana wa kitanzania napenda kuangazia sifa mujarabu ambazo nadhani bashauri ukikutana nazo Kwa binti wa kibongo hapo hapo chukua jiko jumlajumla na usimwache abadani. 1.*Mwenye...
26 Reactions
87 Replies
10K Views
" Ukiona tu Mtu ama Kaoa au Kaolewa halafu wakikaa muda wa Mwaka Mmoja tu hawajaanza kufanana Sura zao jua Kwanza Damu zao hazikuendana na kama Damu zao tu hazikuendana Kibaiolojia hapo jua ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za masiku ndugu zanguni poleni na uchovu wa Quarantine Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada hapa ni hili swala la wanaume kupiga magoti wakati wa Engement binafsi Mimi...
16 Reactions
133 Replies
10K Views
Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu naomba Kuuliza ukisikia ke anasema amechoka time ya sex ina maana gani na unatakiwa uchukue hatua gani kipind cha sex? Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
271 Replies
43K Views
Wakuu habari zenu. Leo nimeamua niweke darasa kidogo hasa kwa wale jamaa zangu wenye midomo mizito kutongoza. Wenye kutongoza haraka haraka na kuishia kupigwa kibuti hasa kwa yule mwanamke...
11 Reactions
83 Replies
12K Views
Kiukweli hapa minakuja tuu kurefresh mind! Nakua ninaandika ninachojisikia nitakachoona kinanifurahisha, lakini cha kushangaza nyie wanawake wa hapa mnaniona mimi 'Hamnazo'. Juzi na leo nimepata...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Hellow habari zenu,hivi umri wa mimba unahesabu kuanzia siku uliyokutana kimwili na patner wako au unahesabu vipi?
1 Reactions
33 Replies
54K Views
hbr ya jioni wana mazengo pole na majukumu ya kila siku na weekend. Niende kwenye mada moja kwa moja.km mada inavyouliza hapo juu.kumekuwa kunatokea ajari na vifo vingi vyenye kuleta utata hasa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu kwanza. Nachohitaji kujua kutoka kwenu wakuu ni nini maana ya sehemu za siri? Je hata kama umefanya mapenzi na wanaume au wanawake wengi bado unastahili kujiita una sehemu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa mfano. 1. Wake za watu jinsi wanavojirahisisha kwa wanaume na kuliwa kiurahisi. Maana twapishana nao huko kwenye ma lodge jins wanavopishana nasi katika 1 na 2 2. Matokeo tunayoyaona baada...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wenyewe ukiwaulizia wanadai joto ndio linawasumbua, mwaka jana kati ya wanawake 30 niliotembea nao wa hapa Dar walikua hawavai nguo ya ndani wanadai wakivaa wanachubuka mapajani kwa sababu ya...
10 Reactions
216 Replies
29K Views
Kwa hali ya kawaida huwa kuna mtu ambaye unamuamini hivyo uko huru kumueleza siri zako lakini pengine kuna siri ambayo imebaki kuwa siri yako tu. Binafsi mimi ninayo siri ambayo imebaki kuwa siri...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Niende kwenye mifano hai japo sitamtaja yeyote humu na najua familia nyingi ndivyo zilivyo Familia no. 1 Baba na mama ni wafanyakazi (wameajiriwa na taasisi fulani), mama ana kiburi kwa sababu...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Tukianza na wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa kabisa.. 1.Wanaovaa suruali na vimini wakiamini kwamba huo ni uhuru wao wa mavazi - Hawa wanakuwa wakorofi kwenye ndoa kwa...
16 Reactions
157 Replies
15K Views
Kuzaa na mtu ni kuweka alama katika mahusiano yenu, haijalishi mahusiano yenu yalikufa au laa. Hata kama mliachana miaka mingi liyopita na kila mmoja akawa na mpenzi mwingine, haiwezi kufuta ile...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha...
28 Reactions
57 Replies
10K Views
Sisi ambao tuna experience hii tunaona hali halisi, ukimkeketa mwanamke unamtengenezea mazingira magumu katika ndoa yake au mahusiano ya kimapenzi. Kumkeketa mwanamke unamuacha kama chai isiyo na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom