Mtaalam: Mwanaume yoyote ukijigundua tu kuwa una kisukari jua ulishaanza au umeshaanza 'kuchapiwa' mkeo/ demu wako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,795
Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina GENTAMYCINE, huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea wivu na huo ulaji wenu wa 'kitajiri' mnaojisifu nao.

Sasa ni rasmi kuwa 99.999% ya wanaume wanaougua kisukari huwa 'wanachapiwa' sana wake zao kwakuwa mwanaume akishakuwa tu na hilo tatizo uwezo wake wa kusimamisha uume inavyotakiwa.

Unakutana na mwanaume mzima uko nae ndani ya Daladala nae anamuita kondakta tena bila aibu kabisa na uso wake ukiwa mkavu akimwomba amshushie kituo cha msaada ili mradi tu asitembee umbali mrefu na aweze kufika kwake bila kutokwa na jasho lolote lile.

Hivi mimi GENTAMYCINE ambaye naishi Pugu mnadhani huwa nakuwa ''Popoma'' pale nikipanda zangu Daladala Kariakoo kisha nikifika pale TAZARA nashuka kisha naanza kutembea kwa miguu hadi nafika maghetoni kwangu Pugu? na kwa wanaume wengi kutopenda kufanya mazoezi 'mtachapiwa' mno hadi mkome.

Kwa uhondo kamili wa hili tatizo la ugonjwa wa kisukari linalopelekea wanaume wengi wenye nao 'kuchapiwa' wake zao kwakuwa huwa wanakuwa hawana uwezo wa kusimamisha vyema minara yao ya Babeli na kulitendea vyema tendo la ngono, tafuta gazeti la leo la Tanzania Daima kwani huko mtaalam 'kafunguka' kinomanoma.
 
Kwahiyo unafanya mazoezi ili usije chapiwa? Labda tu kama ulimkuta bikra ndo ukamuoa.
Na kama ulimkuta bikra, na ukamla kabla ya ndoa, basi hayo mazoezi hayatakusaidia.
 
Kwa iyo unafanya mazoezi ili usije chapiwa?
Labda tu kama ulimkuta bikra ndo ukamuoa.
Na kama ulimkuta bikra, na ukamla kabla ya ndoa, basi hayo mazoezi hayatakusaidia.

Wanaume tunaofanya Mazoezi ya kweli na kila Siku kamwe huwa 'hatuchapiwi' wake/ mademu zetu.

Hivi kila Siku natembea kwa Miguu kutoka TAZARA hadi Pugu Kwangu tena kwa mwendo wangu wa ' Kijeshi / Nginja Nginja ' kabisa nitaanze Kuwa na Ugonjwa wa Kisukari? Nitaanze ' Kuchapiwa ' wakati muda wote tu Mwili wangu unakuwa Kamili ( Fiti ), Damu inatembea vizuri huku Viungo vyangu vyote vya Mwili vikiwa na Furaha na Amani tele?
 
Haya wanaume mkuje huku


Cc Smart911

Hawawezi kuja Mkuu kwakuwa wengi Wao wameshagundulika kuwa na ' Kisukari ' hivyo sasa huko waliko wanaugulia Machungu ya ' Kuchapiwa ' kama Mtaalam alivyodokeza na kutahadharisha pia. Wanaume wenye Afya zetu ' tukuka ' kabisa, tusiochapiwa na wapenda Mazoezi tupo wachache sana hapa Jukwaani na hata Tanzania kwa ujumla wake.
 
Unatembea toka tazara hadi pugu unaonekana huna kazi za kufanya wewe...

Kwani Kuuza Kwangu Karanga pembezoni mwa barabara za Mkoa wa Dar es Salaam siyo Ajira / Kazi Mkuu? Kwako Wewe Kazi ( Ajira ) ni nini labda? Nasubiri ufafanuzi wako wa Kina na ulio ' Kuntu ' kabisa juu ya hili tafadhali.
 
Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni Kufanya Mazoezi na acheni ' Kufakamia ' mivyakula yenu hiyo ya Mafuta Mafuta na Kuishi kwa ' Kujibweteka ' na mfanye sana Mazoezi ili muwe ' Fiti ' Kiafya kama akina GENTAMYCINE huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea Wivu na huo Ulaji wenu wa ' Kitajiri ' mnaojisifu nao.

Sasa ni rasmi kuwa 99.999% ya Wanaume wanaougua Kisukari huwa ' Wanachapiwa ' sana Wake zao kwakuwa Mwanaume akishakuwa tu na hilo tatizo Uwezo wake wa ' Kudindisha ' na Kucheza na ' Mbunye ' inavyotakiwa ukiwa nayo Kitandani unakuwa hauko tena.

Unakutana na Mwanaume mzima uko nae ndani ya DalaDala nae anamuita Kondakta tena bila aibu kabisa na Uso wake ukiwa mkavu akimwomba amshushie Kituo cha Msaada ili mradi tu asitembee umbali mrefu na aweze Kufika Kwake bila kutokwa na Jasho lolote lile.

Hivi Mimi GENTAMYCINE ambaye naishi Pugu mnadhani huwa nakuwa ' Popoma ' pale nikipanda zangu DalaDala Kariakoo kisha nikifika pale TAZARA nashuka kisha naanza Kutembea kwa Miguu hadi nafika Maghetoni Kwangu Pugu? Na kwa Wanaume wengi kutopenda Kufanya Mazoezi ' mtachapiwa ' mno hadi mkome.

Kwa Uhondo kamili wa hili tatizo la Ugonjwa wa Kisukari linalopelekea Wanaume wengi wenye nao ' Kuchapiwa ' Wake zao kwakuwa huwa wanakuwa hawana Uwezo wa Kusimamisha vyema Minara yao ya Babeli ( Mikuyenge / Mboo / Mibolo ) na Kulitendea vyema Tendo la Ngono tafuta Gazeti la leo la Tanzania Daima kwani huko Mtaalam ' Kafunguka ' kinomanoma.
Kama hujaoa bwana gentamycine,jitahdi uoe aliyekuzidi hata miaka 3,mana kama utaoa /umeoa uliyemzidi nakupa pole.kunamuda akili yako itakua inataka mwili unagoma ,harafu yeye ndo anataka.hivyo utachapiwa tu hata kama kisukari (diabates) huna...
 
Kama hujaoa bwana gentamycine,jitahdi uoe aliyekuzidi hata miaka 3,mana kama utaoa /umeoa uliyemzidi nakupa pole.kunamuda akili yako itakua inataka mwili unagoma ,harafu yeye ndo anataka.hivyo utachapiwa tu hata kama kisukari (diabates) huna...

Ratiba ya Mimi kuja ' Kuoa ' haipo Kwangu Mkuu kwani hawa Wake za Watu ' ninaowachapia ' kila Siku wananitosha sana tu.
 
Back
Top Bottom