Kanuni kuu ya mapenzi ya millenial

Kanuni kuu ya mapenzi ya millenial

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Ewe KIJANA mwenzangu wa KIUME.
Naongea na wewe kijana mwenzangu uliye SINGLE kama Mimi.

Kuna KANUNI 3 KUU za MAPENZI ya SIKU HIZI, bila hizo ni MAUMIVU TU....

1. Tafuta hela.
2. Usiache kutafuta sanaa mkwanja.
3. Yaani piga ua garagaza LAZIMA ue na pesa.

Bila mtonyo WATOTO WAZURI wotee utaishia Kuwaita SHEMEJI.

Kwani we hutaki kula papuchi za watoto wazuri zilizo tamu..??
Haya Tafuta Maweee....

NB:
Bachelor mwenzangu TAFUTA PESA then zitumbue kwanza ukiwa single.
Kula kwanza nguvu zako kwa nafasi iliyo huru halafu ndio uoe.

Yaani vile unapata hela hapohapo ndio unaoa... Dah MAJANGA HAYA.. HATA UFAIDI pesa zako ulizotafuta kwa jashoo ukiwa singel..!!!

Ila pia usisahau Dangote na mwenzake Benzos (Amazon) WAMEKIMBIA NDOA zao..!!!
Tajiri wa Africa na Tajiri wa dunia WAMEKIMBIA NDOA ZAO.

Yaani ma role model wa KUTAFUTA hela wameachana na wake zao, wewe mwenzangu bank account ina digit chachee kama marks za mitihani ya combination za PCB na PCM halafu UNAKIMBILIA HUKO kwenye ndoa...!!!!

#Mcheki mzee anavyofaidi (picha).
#Mkono mtupu haulambwi..

#YNWA
IMG-20200404-WA0008.jpg


Wrote from Anfield..!!
 
Most of times tunachokiwaza ndo hutokea..
Ukisema huwezi kitu bila hela itakua hivyo hivyo.
Na ukisema pesa kitugani wangapi hawana na wanagombewa na wasichana kila aina itakua hivyo hivyo..
 
Kwani bezos na dangote ni kina nani hata ndoa zisiwashinde?!
Pesa ni pesa na ndoa ni ndoa

Kuna kina baba peter na mama mwajuma wanadumu na pesa hawana
 
Most of times tunachokiwaza ndo hutokea..
Ukisema huwezi kitu bila hela itakua hivyo hivyo.
Na ukisema pesa kitugani wangapi hawana na wanagombewa na wasichana kila aina itakua hivyo hivyo..
Huoni huyo babu kwenye picha anafidi MTOTO MBICHI..

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Kwani bezos na dangote ni kina nani hata ndoa zisiwashinde?!
Pesa ni pesa na ndoa ni ndoa

Kuna kina baba peter na mama mwajuma wanadumu na pesa hawana
Unadhani bila pesa Mzee Mengi na huyo mzee kwenye picha wangekula watoto wabichi hivi?

We are in the capitalist world:- If does not make money DOES NOT MAKE SENSE.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
I've had my fair share of beautiful ladies and i'm broke as f@ck! Kwanini mashabiki wa looserpool hamjiamini?
 
Unadhani bila pesa Mzee Mengi na huyo mzee kwenye picha wangekula watoto wabichi hivi?

We are in the capitalist world:- If does not make money DOES NOT MAKE SENSE.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
Kama ni ww tu nakuacha sibishani na ww kwa sababu hautaki kuoa[emoji23][emoji23]
 
usidanganye wenzio.......ni mbinu na mikakati.....wanapatikana tuu......ila huyo uliyemuweka sijaona uzuri wake.....wanawake wote wazuri.....ishu ni CHAGUO lako......
 
Ni muhimu sana kutafuta pesa sema inasikitisha sana pale dhumuni lako kuu la kutafuta pesa ni kwa ajili ya wanawake.

Kama dhumuni lako ni kubadilisha warembo daily, just know female nature and have game, utawachoka.
 
Unadhani bila pesa Mzee Mengi na huyo mzee kwenye picha wangekula watoto wabichi hivi?

We are in the capitalist world:- If does not make money DOES NOT MAKE SENSE.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
Kwan unadhan kabla ya Mzee... Huyo demu alikua hapakuliwi ???... Au baada ya kua naye ,alikua hapakuliwi ????
 
I've had my fair share of beautiful ladies and i'm broke as f@ck! Kwanini mashabiki wa looserpool hamjiamini?
Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo..

Shulenu waliokua hawasomi BAADHI nao WALIFAULU..

Ila MARK ME #BAADHI.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Back
Top Bottom