Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow habari zenu,hivi umri wa mimba unahesabu kuanzia siku uliyokutana kimwili na patner wako au unahesabu vipi?
Okay i got you,thanks.Gestational age , or the age of the baby, is
calculated from the first day of the mother's
last menstrual period. Since the exact date of
conception is almost never known, the first day
of the last menstrual period is used to measure
how old the baby is.
Gestational age , or the age of the baby, is
calculated from the first day of the mother's
last menstrual period. Since the exact date of
conception is almost never known, the first day
of the last menstrual period is used to measure
how old the baby is.
Hapo kwenye mestrual period...kwa mfano mestrual period ilipita then ndo akabeba mimba...ile mestrual iliotakiwa kufata hakuiona...je anahesabu vip...kuanzia ile iliopita ambayo alibeba mimba after...?.Gestational age , or the age of the baby, is
calculated from the first day of the mother's
last menstrual period. Since the exact date of
conception is almost never known, the first day
of the last menstrual period is used to measure
how old the baby is.
Teh teh tehje ukitaka kujua mimba sio yako??
He he he heeje ukitaka kujua mimba sio yako??
Hapo kwenye mestrual period...kwa mfano mestrual period ilipita then ndo akabeba mimba...ile mestrual iliotakiwa kufata hakuiona...je anahesabu vip...kuanzia ile iliopita ambayo alibeba mimba after...?.
Na kwenye kuhesabu anaanzia ipi..? ile last day of the mestrual period au first day of the last mestrual period...sijui umenielewa
Mh! Rafiki mambo tayari nn?Hellow habari zenu,hivi umri wa mimba unahesabu kuanzia siku uliyokutana kimwili na patner wako au unahesabu vipi?
Mara ya mwisho alipopata MP ndio hiyo akishashika mimba wachache sana wanableed hata tone.Hapo kwenye mestrual period...kwa mfano mestrual period ilipita then ndo akabeba mimba...ile mestrual iliotakiwa kufata hakuiona...je anahesabu vip...kuanzia ile iliopita ambayo alibeba mimba after...?.
Na kwenye kuhesabu anaanzia ipi..? ile last day of the mestrual period au first day of the last mestrual period...sijui umenielewa
Muulize kama ni yako ama ya kwake?je ukitaka kujua mimba sio yako??
hapanaMh! Rafiki mambo tayari nn?
Hapo kwenye kuuliza wengi waongoMuulize kama ni yako ama ya kwake?
Mfano mp ilianza tarehe 10 mwezi wa tano then ikaishia tarehe 14 baada ya hapo ndo ukamiss mp hapo unahesabu vipi mpaka sasa?Unaanza kuhesabu from the FIRST DAY OF HER LAST MENSTRUAL PERIOD!!
Mfano mp ilianza tarehe 10 mwezi wa tano then ikaishia tarehe 14 baada ya hapo ndo ukamiss mp hapo unahesabu vipi mpaka sasa?
Mpe EDD kabisaUnahesabu kuanzia tar. 10.5.(siku ya kwanza ya hedhi yako). Ujauzito wako utakuwa na wiki 8 na siku tatu hadi leo. Hongera mama kijacho
EDD 14.02.2017 Siku ya malavidavi duniani...nampa hongera illuminata, mama kijacho.Mpe EDD kabisa