Jinsi akina mama walivyo na uwezo wa kujenga na kubomoa familia

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
536
1,000
Niende kwenye mifano hai japo sitamtaja yeyote humu na najua familia nyingi ndivyo zilivyo

Familia no. 1
Baba na mama ni wafanyakazi (wameajiriwa na taasisi fulani), mama ana kiburi kwa sababu ana pesa sawa na mzee na mzee anatoa 75% ya matumizi ya familia. Hapo mama anatoa 25% ya matumizi na bado analalamika kwa watoto kuwa baba yenu ni mlevi/ malaya hatoi matumizi kazi kulewa/ umalaya. Mama yeye anajisahau kuwa anajipodoa kwa gharama kubwa na kutumia pesa ndugu bila ya mzee kujua. Watoto kwa vile uwezo wa kufikiri ni mdogo wanaona baba yetu ni zero kabisa.

Familia no. 2
Baba mfanyakazi na mama wa nyumbani...
Baba anatoa 100% ya matumizi ya familia ikiwemo kuaomesha watoto. Mama ana msaidizi pamoja na watoto wanasaidiana katika majukumu ambayo wakati baba bachela aliyafanya ndani ya lisaa au pungufu wao ni siku nzima. Mama pia anamlaumu mzee kuwa baba yenu mlevi/malaya.

Anatumia pesa kwenye starehe wakati nyumbani tunalala njaa (Matumizi na watoto wanaenda shule tena za boarding). Mama pesa ya matumizi katuma kwao anajaribu kubana ili watoto waone Mzee ni zero. Na kwa vile watoto wanamwamini mama bila kuangalia wanasoma na kula kwa uwezo wa nani wanaamini kweli baba yetu ni 0%

Familia no. 3
Baba na mama wote wajasiriamali ila biashara zao ni za kifamilia (Wame'share) mfano duka n.k. Kihistoria walipambana biashara ikapatikana ya pamoja ila kwa vile mama ndio mhasibu na mtunza hazina. Ndio anaepanga mapato na matumizi. Watoto wakihitaji chochote wakienda kwa baba anawaelekeza kwa mama.

Hapa mama mara nyingine anasaidia matumizi ya kwao, baba kwa vile kila atakachogusa lazima mama ajue na lazima aulizwe unapeleka wapi? Hata kama kuna ndugu anatakiwa apewe au matumizi binafsi ambayo sio lazima yajulikane, mzee ataonekana zero brain na mama atawaaminisha watoto kuwa baba yenu ndo mzururaji hana lolote.

Familia no. 4
Baba ana kazi ya ovyo na mama anaweza kuwa na unafuu labda mjasiriamali au mara nyingine hana dili ni malaya tu ila kwa vile mzee ndo hatoshelezi matumizi (Hawa wazee mara nyingine wanapigwa makofi mbele ya watoto)...

akina mama wa namna hii wanadanga mpaka mbele ya waume zao na wanawatuma wanaume kama houseboy. Na wanawatukanwa sana. Na isitokee akaoneka na mazoea na jinsia ya tofauti ndo kabisaaa ataonekana mwanaume kahaba.

Familia no. 5
Baba mfanyabiashara ya kutembea masafa au mwanasiasa anaonekana mara chache kwenye familia na wake zao wamewafungulia biashara ili wasikae bila kazi. Huyu unafuu wake ni kwa sababu ya kipato kinabeba wengi pande zote mbili.

Wake zao mara nyingi ni rahisi sana na wanatongoza na kuhonga vijana ili wawape utamu na watoto wanajua. Wazee wa namna hii wanaheshimika sana na watoto na wake zao kwa vile hawana mpango na bajeti za njaa. Wanawake zao hawanaga wivu na wanajua mzee huyu anaweza kuwa na wake zaidi ya wawili ila cha msingi pesa na pia wao (wake) wanagawa (ngoma droo).

Ukifuatilia shida na raha 85% huletwa na akina mama katika familia. 15% ndio wale akina baba wababe wasioelewa na kuwanyanyasa wake na watoto wao.
Kuna haja wanawake walitambue hili ili familia ziwe na amani na furaha

N.B Sijamtaja mtu ila najua kuna familia nyingi zinaangukia hapa. Pia sijataja familia ambazo hazina shida sana (namaanisha wanaishi kwa amani).
 
M2WAWA2

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
444
500
Na ndio maana kuishi kwa akili na mke ni kutafuta mke mwingine, bila yeye kujua. Huu waya wa moto huu waya nyutro! Maisha yanakwenda
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,819
2,000
Umeonyesha kana kwamba wanaume ni malaika...hawana usemi wala mawaa...yote wanasingiziwa...
Unatuaminisha wanawake wengi ni crazy?.!

Mnafeli wapi jmn!

Nenda kapitie elimu ya uumbaji, chunguza jamii nyingine kama waarabu, wahindi, wachina na wazungu wanavyoishi na namna familia zao zinavyoishi kwa amani..

Wanawake wa KiAfrica mnapambana na elimu ya uumbaji na hapo ndipo wengi wenu mnafeli either kuachika, kutoolewa au kutumika na kutupwa.. Mwanamme ameumbwa kutamani na kumiliki Wanawake wengi ndio maana unaona baadhi ya dini zimeruhusu na wazee wetu miaka mingi kabla ya dini waliishi hivyo..

Mwanamke hajaumbwa kutumika, ameumbwa kuvumilia na kulinda familia refer vifungu vya bible "Mwanamke mjinga atavunja ndoa kwa mikono yake hakuzungumziwa mwanamme hapo" Mwanamke ukipambana na elimu ya uumbaji ukaamua kutumika tambua utachakazwa na 35yrs utakuwa kama nyama za malapulapu..

Elimu ya uumbaji imemaliza kila kitu ukienda tofauti nayo lazima ikuadhibu nikama law of nature tu..
 
wepson

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
823
250
kazi kweli kweli watu hawa wenye ngua inapana juu chini iko wazi wanasumbua sana
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,277
2,000
Nenda kapitie elimu ya uumbaji, chunguza jamii nyingine kama waarabu, wahindi, wachina na wazungu wanavyoishi na namna familia zao zinavyoishi kwa amani..

Wanawake wa KiAfrica mnapambana na elimu ya uumbaji na hapo ndipo wengi wenu mnafeli either kuachika, kutoolewa au kutumika na kutupwa.. Mwanamme ameumbwa kutamani na kumiliki Wanawake wengi ndio maana unaona baadhi ya dini zimeruhusu na wazee wetu miaka mingi kabla ya dini waliishi hivyo..

Mwanamke hajaumbwa kutumika, ameumbwa kuvumilia na kulinda familia refer vifungu vya bible "Mwanamke mjinga atavunja ndoa kwa mikono yake hakuzungumziwa mwanamme hapo" Mwanamke ukipambana na elimu ya uumbaji ukaamua kutumika tambua utachakazwa na 35yrs utakuwa kama nyama za malapulapu..

Elimu ya uumbaji imemaliza kila kitu ukienda tofauti nayo lazima ikuadhibu nikama law of nature tu..
Mbona kama umepanic
 
Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
4,609
2,000
Unaogopa changamoto mwanaume? Oa tu tupime uwezo wako wa kuishi kiakili na mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
siangalii changamoto.naangalia happy life.mwanamke nimtolee mahari,nimuhudumie, nisaidie wazazi wake, nisaidie mashemeji wake,nimpende,nimjali,nimpe muda wangu.then mimi napata faida gani?? just pussy? pussy yenyewe mwanamke hakupi kila siku mara amechoka,mara hajisikii,ila mimi natakiwa kumuhudumia kila siku bila kuchoka.hiyo biashara kichaa huwa sifanyi.hapo bado hajakukera bado hajakuudhi,bado hajakugombanisha na ndugu zako,bado hajakuletea mtoto wa nje. mimi nazalisha tu kuolewa akaolewe kwingine.nimeshazalisha watatu mwaka huu nazalisha mwingine.bata tu no stress
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,830

😆😆😆😆
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom