Hivi sasa vijana hatupendwi na wanawake ispokuwa vinapendwa tunavyomiliki mfano wanawake wa sasa humpenda mwanamme kwa sababu ya pesa/mali anayomiliki, kiwango cha elim, umaarufu alio nao eg...
Pindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
Kukaa kimya/Kumchunia/Kutomuongelesha aliyekukosea
Kushauti/Kugombana/Kutukana
Kuondoka eneo la tukio/Kusepa
Kulia machozi...
Wakuu nawasalimu
Kwa kifupi ni kwamba nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hiv tukaja kutofautiana tukaachana kila kivyake sasa cha ajabu akiwa na shida ananililia Jana jion kanipigia...
Amani iwe kwenu.
Moja kwa moja naanza kwa kusema hakuna mwanamke ambaye anaweza kukaa bila mwanaume na hii nimeisibitisha kwa njia zifuatazo.
1: Kwa kupitia neno "woman"
Hili linadhihirisha wazi...
Siku hizi ukimtongoza mwanamke anachofikiria ni kwamba amepata mtu wa kumtatulia shida zake za kiuchumi
Ingawa sio wote wenye mawazo hayo lakini asilimia kubwa ya wadada wa siku hizi ukimtongoza...
Nilipooa ndipo nikagundua kipato changu hakitoshi.
Kuoa kunahitaji kujipanga sana, baada ya kuoa maisha yangu kiuchumi yalibadilika sana. Kuna mambo yalikuwa yanaenda poa kwa sababu nipo single...
Heeeeeeepiiii Neeeeew Yaaaaaaa 🔥🔥
Poleni na Corona (Covid19)
I think I miss this place Ila sio kiviiile but hey am here 😷
Mapenzi kipindi hichi cha karantini yananifanya niwe boya zaidi, naona...
Wakuu Yan nikipata dem nawahi kumchoka balaa, tena akijidai ananijali ndo namuona kero kabisa
Dem akijidai kila saa ananitumia sms za kunijali kuniuliza maswali Kama "unafanyaje?, Umekula...
Kumekuwa na mijadala kuhusu kama mwanaume anaruhusiwa kumpiga mpenzi ama mke wake. Baadhi wakisema mwanamke hapaswi kupigwa na wengine wakisema ni sahihi kupigwa.
Mimi binafsi nasema kuwa...
Hii imenitokea, baada ya yule meanamke kufungiwa laini yake na NIDA mpaka leo simpati hewani kabisa.
Mtaa anaokaa naujua lakini ndio sijui hata nianzie wapi maana hata jina simjui, na naogopa...
Hii sio mara ya kwanza, kwamfano nikitengana na mwanamke ambae nilikua na future nae/Ninampenda inachukua muda sana kupata mwingine.
Sasa huu ni mwaka wa 3 tokea niachane na mwanamke ambae...
Wadau! Poleni na majukumu.
Kuna mtu ameniudhi sana sana baada ya kuniahiribia mood ghafla.
Nataka nimsahau haraka sana akilini bila kupata madhara yoyote ya kisaikolojia.
Mimi ni mwanaume...
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.
Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda...
Habari wanaJF,
Kwanza nianze kwa kuwauliza wanaume, ulishawahi kumfikisha mwanamke kileleni?
Kama NDIO tupatie maujanja uliyotumia hapa ili wahanga wapate matibabu.
Kwa wanawake: Je, ulishawahi...
Tunaishi kwenye nyakati za sayansi na technologia inayo rahisisha maisha kwenye nyanja zote zikiwepo kiuchumi na kijamii. Nina imani kupitia technologia ya mawasiliano naweza kupata mke mzuri, mke...
SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU.......
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na...
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.
Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki...
Hapa ni kwa wanawake wa kitaa na wale wa viti virefu, wapenda SAVANNA
Mimi kabla huu ugonjwa wa kutowapa pesa(ugumu) haujaingia kichwani nilikuwa na mwanamke mmoja mzuri matata nilikuwa...
Naomba nliweke wazi hili wakuu wanawake Mungu amejaalia kuumbwa kwa mfano wa uzuri
Kama unataka kufaham maana halisi ya uzuri basi chkua mda wako kumtazama mwanamke
Lakini hakuna mwanaume mzur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.