Ni siri gani hujawahi kumueleza mtu yeyote?

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
937
817
Kwa hali ya kawaida huwa kuna mtu ambaye unamuamini hivyo uko huru kumueleza siri zako lakini pengine kuna siri ambayo imebaki kuwa siri yako tu. Binafsi mimi ninayo siri ambayo imebaki kuwa siri yangu tu.

Iko hivi: nilikuwa nimepanga kwenye nyumba mmoja hivi yenye wapangaji wengi, bahati mbaya kwa jinsi nilivyojitambukisha kwao ni kama mtu mwenye heshima zangu hivi. Kila jumamosi kanisani na tai yangu shingoni

Sasa ikatokea siku Moja usiku nikazidiwa na tamaa za mwili ikabidi niende kuzunguka zunguka huku na kule nione kama naweza kuzituliza.

Uzuri wa ile nyumba unaweza kutoka na kuingia muda wowote kwani pale getini kulikiwa na sehemu ya kufungulia geti ukiingiza mkono basi bwana saa tano hivi nikachopoka nikakaa baa moja hivi hadi kama saa sita nikatupia kama bia nne nikimvizia baamed mmoja niondoke nae.

Kumbe alikuwa na wake gafla sioni mtu nikesema isiwe tabu ngoja mikalale. Ile niko barabarani nikakutana na demu, kumsemesha akasimama nikajisemea mambo si ndio haya tukaelewana buku ten kozi nilimwambia nawahi kuondoka basi tukaenda gest nikatalipa buku ten mambo yakaanza. Ila kwa kweli the harlot was good! Mamaaaaaa ukichomeka tu linaanza kunguruma kama spika. Nikaona niongeze dau ili nifike sa kumi na moja ningewahi kabla wapangaji wengine na mwenye nyumba hawajaamka.

Baada ya shoo nikapitiwa na usingizi ila kweli mida ya saa kumi alfajiri aliniamsha nikatupia kimoja, sasa nikajianda kuvaa nitimke tobaaaa nguo sizioni. Nikamuuliza wewe nguo nae akashangaa, kwani ulizoweka wapi? Baadae akasema ila hapa huwa kuna vibaka emu angalia dirisha kama kimevunjwa. Kuangalia dirishani dirisha liko wazi. Kwa kweli Mungu afichi mnafiki. Nikajiuliza hapa naendaje nyumbani hapo ni kama saa 11.

Kumwamsha mhudumu nae akasema hana cha kunisaidia, da ikabidi niwe mkali na kutishia kwenda polisi kwamba wamekula njama. Kusikia hivyo yule malaya akaniambia ngoja nikakuketee nguo wala hakurudi. Yule mhudumu nae amekuwa mkali balaa.

Simu sina ilikuwa mfuko. Yaniii basi nikajifunga shuka na kutishia mhudumu kwamba naenda polisi, huyoo nikakimbilia nyumbani. Palikuwa karibu sana getini nimeigia mlangoni sasa. Kilichonizaidia dirisha niliacha wazi.

Kufunua pazia nikauona ufunguo hapo karibu kabisa. Nilichukua kijiti na kuuvuta nikazama ndani.

Ukweli hii kitu sikuwahi kumueleza hata rafiki yangu wa karibu.

Je, una siri hajawahi kumwambia mtu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tatizo la kuchukua malaya wa bei poa na kulala gesti za bei poa pia

Jr

Anafanyaje wakati maisha yake ya bei poa. Afu nashangaa mtumishi ana tamaa za mwili wakati moja ya sehemu ambazo kuna vitendea kazi ni kanisani.
 
Ukilala lodge ya bei poa, unakuwa mlinzi mwenyewe! Maana usalama huwa mdogo sana. Kuna msela wangu aliibiwa laptop kizembe kama hivyo.

Naona ulisahau hiyo kanuni ya Kibaharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo gest zina wababe wake kwakuwa zaidi ya risk ya kuibiwa lakini pia kuna chabo
Anafanyaje wakati maisha yake ya bei poa. Afu nashangaa mtumishi ana tamaa za mwili wakati moja ya sehemu ambazo kuna vitendea kazi ni kanisani.

Jr
 
Kwa hiyo, hiyo siri ambayo sijawahi kumuelezea mtu yeyote unataka nikuelezee wewe apo?
 
Vile ulivyoonekana siku hiyo!
930a42c36e1ac36485df28dee79ee3a1.jpeg
 
kwahiyo shuka la watu ulirudisha Au ukalifidia?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Binafsi natunza vizuri tu haina shida, nakumbuka nishamtunzia baba yangu issues zake za michepuko hadi alipofariki ndipo nikamwambia mama tena baada ya yule Aunt kuleta mtoto home wa kiume copy kabisa na baba.
 
Back
Top Bottom