Ukeketaji wa wanawake ni hatari katika ndoa/mapenzi

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Sisi ambao tuna experience hii tunaona hali halisi, ukimkeketa mwanamke unamtengenezea mazingira magumu katika ndoa yake au mahusiano ya kimapenzi.

Kumkeketa mwanamke unamuacha kama chai isiyo na sukari.

Tupige vita ukeketaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saizi kila kitu ni sawa isipokuwa Corona tu ndiyo hairuhusiwi!

Means, ugonjwa wa Corona unasababisha hata matukio mengine yasiongelewe kabisa na kusahaurika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom