Likizo ya siku 30 imesababisha jamaa yangu kuwa baba kijacho

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
330
270
Habari zenu wana JF

Natumai mtakuwa wazima wa afya bila kupoteza muda niende kwenye mada husika.

Kuna jamaa yangu ni mwanafunzi wa form six, huyu bwana yeye kazi yake akiwa likizo ni kubadilisha tu mademu. Yani ni mzee wa kula tunda kimasihara. Huyu jamaa siku hizi takribani 20 kesha tembezea ukuni mademu 12

Sasa jamaa jana kanasa kingi baada ya moja ya mademu zake kudai kuwa ana mimba yake,Na jamaa anakiri kuwa ni kweli alimgonga bila condom huyo demu na demu alimtahadharisha kuwa yuko siku za hatari ila jamaa alijifanya kichwa ngumu


Baada ya hizo taarifa jamaa kuzipata akamuomba demu atoe mimba ila demu kashikilia msimamo hatoi mimba hata iweje! Japokuwa demu sio mwanafunzi. Sasa jamaa yuko njia panda haelewi nini la kufanya anasubiri tu kesi ifikishwe nyumbani.

Hivyo nipende kuwataadharisha vijana msione ni sifa kuchakata papuchi hovyohovyo bila tahadhari matokeo yake ndio kama haya ya jamaa yani atakuwa anasubiri matokeo ya mtihani wa form six na katoto

Nawasilisha
Hexacyanoferrate(II)ion
 
Back
Top Bottom