Wakuu natumai hamjambo.
Jana jirani yangu karudi usiku akiwa kala maji yakutosha kawakuta sitting room mkewe na watoto wanatizama TV.
Jamaa kafika pale anamwambia mkewe, twende chumbani nikakut*** bila hata kumung'unnya maneno, mke anamwambia hivi unaakili? Jamaa akajibu, kwani nilikuoa ajili ya nini kama si kukutomba.
Mama ikabidi atumie busara akawaambia watoto wake wakalale na wampuuze baba yao pombe zimemvuruga akili, watoto wakenda kulala na wao pia wakaingia chumbani.
Sasa jamaa leo anawaonea aibu sana wanae utadhani alilazimishwa kujitoa akili.
Wakuu tunyweni kiasi tusijejishushia heshima kwa familia zetu.