Ni laana, tamaa za mwili au pesa ndo inasababisha dada zetu wajiuze? Na yapi madhara ya kuwatumia ukiacha magonjwa ya zinaa?

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,863
3,473
Habari zenu wakuu,

Kwa muda Sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu Hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kuuza mwili. Sababu zipi zinafanye wajiingize huko? Pesa, tamaa za mwili au laana?

Na yapi madhara ya kuwatumia ukiacha magonjwa ya zinaa?
 
Swali jingine la kujiuliza hao wanaowanunua ni laana ama wamezidiwa na vipato au ndo madomo zege? Japokuwa wengi wanao wanunua ni wanaume wa hadhi zao na wana vipato vya kutosha.

Wanao jiuza na wanao wanunua wote ni wajawa laana, hamna wa kumlaumu mwenzanke hapo.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapi madhara kwa mtumiaji (mnunuzi) kiroho + kimwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tamaa ya pesa, tamaa za mwili, ushawishi wa marafiki, kuvamiwa na mapepo ya ngono.

Madhara yake;
1. Ndoa kuvunjika.
2. Kuambiwa kibamia
3. Family conflicts
4. Kuyumba kiuchumi mwanaume.
5. Dhambi
6. Kuuana.
7. Kutapeliana na kuibiana.
8. Kutanuka kwa uke, kadri unavyotumiwa na wateja tofauti tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Kwa muda Sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu Hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kuuza mwili.
Sababu zipi zinafanye wajiingize huko? Pesa, tamaa za mwili au laana?

Na yapi madhara ya kuwatumia ukiacha magonjwa ya zinaa?
Vyote vitatu ni sababu ya kujiuza ila inatofautiana kati ya mmoja na mwingine.
Japo common ni Pesa.

Ukiacha risk ya magonjwa ya zinaa na HIV , nadhani kuna risk za kiroho. Just imagine unaenda ingia kwenye tundu ambalo kuna watu sita saba washapita masaa machache kabla yako.

On addition, kuna risk kama zile za kudandiwa na polisi.

Hili la kiroho subiri wajuzi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom