Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Nimetoka dukani asubuhi hii kunua kanzu yangu nzuri na kibaragashia kwa ajili ya ijumaa ndugu zanguni.
Nimeaga naenda kanisani misa ya saa 12, kumbe nilipita zangu kwa washikaji zangu kina Rama, kupata A, B,C. za maeneo yapi wanauza kanzu za bei chee.
FB, nimeshabadilisha jina siku hizi najiita Omar bin Shafii. badala ya jina langu halisi Nebuchadnezzar John.
Marafiki wanaonifahamu wameshituka sana.
Jana jumamosi kuna wanajumuia yetu wamekuja kututembea hapa home ili kujua kinachoendelea. Wameimba nyimbo na kufanya sala ili kama ni mapepo yatoke maana sio kitu cha kawaida kubadilika kiasi hicho. Kuua soo niliwaahidi kurudi nyuma na kutazama mapito ya zamani.
Najua hamtaamini ila ukweli ni kwamba, siku hizi sinywi pombe wala situmii kitimoto. Hii ni kitu haram, Kitab kitukufu kinakataa.
Haki ya nani siku Aisha ukiniacha lazima nikuteketeze kwa gunia sita za mkaa.
#KingNebu.
Sent using Jamii Forums mobile app