Ni wakati gani ulitamani ardhi ipasuke uzame ndani yake?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
2007 ndo wakati ambao nilitamani ardhi ipasuke nizame ndani yake baada yakumtia mimba mwanafunzi. Binti alinitaja baada kupokea kichapo heavy licha yakunisisitizia kutofanya hivyo.

Nikawekwa selo kesi ikiendelea, nililia na kujuta huku nikiomba Mungu aniepushe na miaka 30. Siku ya hukumu ikawadia dah! siku hiyo niliiona miujiza ya Mungu, binti alipoulizwa kua mimi ndo nilomtia mimba alikana akasema alikubali ajili ya kuzidiwa kipgo.

Kesi ikawa hamna tena nikawa huru, wazazi wake walireact wakamwambia unatusaliti ajili ya kumtetea mpumbavu wako? Kuanzia leo sisi sio wazazi wako na ni marufuku kukanyaga kwetu, kisha wakaondoka.

Binti alibaki analia wazazi wangu wakaahidi kumsaidia, akasafirishwa kuishi kwa mjomba, baada ya kujifungua mjomba alikuja kwao kumuombea msamaha na akawaambia tutamsomesha, wazazi walielewa hivyo akatafutiwa shule akaendelea.

NB: Japo sikumuoa but namheshimu sana huyu binti hadi naingia kaburini coz aliniepusha kunyea ndoo.

Je, kwako ni wakati gani ulitamani ardhi ipasuke uzame ndani yake?
 
2007 ndo wakati ambao nilitaman ardhi ipasuke nizame ndani yake baada yakumtia mimba mwanafunzi.

binti alinitaja baada kupokea kichapo heavy licha yakunisisitizia kutofanya hivo.

nikawekwa selo kesi ikiendelea, nililia na kujuta huku nikiomba mungu aniepushe na miaka 30.

siku ya hukum ikawadia dah! siku hiyo niliiona miujiza ya mungu, binti alipoulizwa kua mimi ndo nilomtia mimba alikana akasema alikubali ajili ya kuzidiwa kipgo.

kesi ikawa hamna tena nikawa huru,wazazi wake walireact wakamwambia unatusaliti ajili ya kumtetea mpumbavu wako? kuanzia leo sisi sio wazazi wako na ni marufuku kukanyaga kwetu, kisha wakaondoka.

binti alibaki analia wazazi wangu wakaahidi kumsaidia, akasafirishwa kuishi kwa mjomba, baada ya kujifungua mjomba alikuja kwao kumuombea msamaha na akawaambia tutamsomesha, wazazi walielewa hivo akatafutiwa shule akaendelea.

nb:japo sikumuoa bt namheshim sana huyu binti hadi naingia kaburin coz aliniepusha kunyea ndoo.

je kwako ni wakat gan ulitaman ardhi ipasuke uzame ndan yake?
Halafu pamoja na kukusaidia kuepuka jela licha ya kumharibia Future yake, , bado hukumuoa! Wewe mtu wa ajabu sana. Matokeo yake utaenda kuangukia kwa mwanamke asiye mke. Majuto ni mjukuu.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2007 ndo wakati ambao nilitaman ardhi ipasuke nizame ndani yake baada yakumtia mimba mwanafunzi.

binti alinitaja baada kupokea kichapo heavy licha yakunisisitizia kutofanya hivo.

nikawekwa selo kesi ikiendelea, nililia na kujuta huku nikiomba mungu aniepushe na miaka 30.

siku ya hukum ikawadia dah! siku hiyo niliiona miujiza ya mungu, binti alipoulizwa kua mimi ndo nilomtia mimba alikana akasema alikubali ajili ya kuzidiwa kipgo.

kesi ikawa hamna tena nikawa huru,wazazi wake walireact wakamwambia unatusaliti ajili ya kumtetea mpumbavu wako? kuanzia leo sisi sio wazazi wako na ni marufuku kukanyaga kwetu, kisha wakaondoka.

binti alibaki analia wazazi wangu wakaahidi kumsaidia, akasafirishwa kuishi kwa mjomba, baada ya kujifungua mjomba alikuja kwao kumuombea msamaha na akawaambia tutamsomesha, wazazi walielewa hivo akatafutiwa shule akaendelea.

nb:japo sikumuoa bt namheshim sana huyu binti hadi naingia kaburin coz aliniepusha kunyea ndoo.

je kwako ni wakat gan ulitaman ardhi ipasuke uzame ndan yake?
Ila hukufanya vizuri, mambo yalipoisha ilitakiwa umuoe. Huyo alikupenda kwa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka zamani sana wakati ndio nipo kwenye balehe kuna karafiki kangu ilikuwa inasemwa kuwa tunafanya mchezo mchafu wakati si kweli. Ingawa ni kweli kalikuwa kanaonesha kunitaka na mimi kwa kiasi fulani nilikuwa nakapenda ila nilikuwa naogopa sana mchezo mbaya....hizi habari zilimfikia hadi mlezi wangu na aliniuliza nikakataa.

Siku moja nimetoka zangu dukani nikakutana na yule rafiki akaanza kunipigisha stori huku tunatembea kuelekea kwetu, tulipita chocho ile tunatokea njiani sister huyu hapa, nilitamani iwe ndoto aisee na nilikula stick siku ile sitasahau.

Baada ya miaka miwili tena na yule yule rafiki yangu tulikuwa tunatoka joint mass shule ya jirani, wenzetu wengine wako mbele sana wengine nyuma sie tuko wawili tunatembea taratiibu, siku hiyo sister alikuwa amesafiri na shemeji mara kwa mbali tukawaona walee kwenye pikipiki wanakuja.

Nilitaka niingie kwenye kichaka nijifiche yule rafiki akanizuia akasema tulia, ameshakuona. Wakatupita kama hawatujui. Nilivyofika nyumbani niliambiwa tu 'kama hamtaki kusoma mseme'.
 
Mlifikia wapi na karafiki kako?
Kalikula?
Nakumbuka zamani sana wakati ndio nipo kwenye balehe kuna karafiki kangu ilikuwa inasemwa kuwa tunafanya mchezo mchafu wakati si kweli. Ingawa ni kweli kalikuwa kanaonesha kunitaka na mimi kwa kiasi fulani nilikuwa nakapenda ila nilikuwa naogopa sana mchezo mbaya....hizi habari zilimfikia hadi mlezi wangu na aliniuliza nikakataa. Siku moja nimetoka zangu dukani nikakutana na yule rafiki akaanza kunipigisha stori huku tunatembea kuelekea kwetu, tulipita chocho ile tunatokea njiani sister huyu hapa, nilitamani iwe ndoto aisee na nilikula stick siku ile sitasahau.
Baada ya miaka miwili tena na yule yule rafiki yangu tulikuwa tunatoka joint mass shule ya jirani, wenzetu wengine wako mbele sana wengine nyuma sie tuko wawili tunatembea taratiibu, siku hiyo sister alikuwa amesafiri na shemeji mara kwa mbali tukawaona walee kwenye pikipiki wanakuja, nilitaka niingie kwenye kichaka nijifiche yule rafiki akanizuia akasema tulia, ameshakuona. Wakatupita kama hawatujui. Nilivyofika nyumbani niliambiwa tu 'kama hamtaki kusoma mseme'.

We muoga sana inaonekana..Kakisa kadogo hivyo unaogooopa..Rafiki aliambulia patupu hadi leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom