Kuna ukweli kuwa mapenzi hujengwa na ngono pekee?

pujo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Messages
1,258
Points
2,000

pujo

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2019
1,258 2,000
Habari zenu wana MMU ,nimekuwa msomaji mzuri wa thread za watu lakini leo naona na mie nilete duku duku langu ambalo linanitatiza kila uchwao.

Mwaka 2017 baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu, niliamua kubaki peke yangu na kuielekeza akili yangu sehemu zenye maana zaidi katika maisha. Mwaka 2019 umekuwa ni mwaka ambao nimekuwa makini sana katika kuanzisha mahusiano na nikajikita zaidi katika dini na kuwa mkristo mzuri tu, nikaimarika zaidi.

Mwaka jana nimefuatwa na wanaume wengi tu wakitaka kuanzisha mahusiano na mie, nilikuwa naangalia sifa alizonazo na je ana hofu ya Mungu? Na kama ni muelewa? Wanapatikana lakini changamoto kubwa ni wanataka sex kabla ya mambo yote, ukizingatia mie sharti langu la kwanza hakuna kufanya mapenzi mpaka kwa kipindi fulani ambacho tutajipangia, wengi wa wanaume wanaokuja tunaishia njiani kwani wao wanakuwa hawawezi kukaa bila kufanya mapenzi. Na mie sikubali basi tunaishia kuachana tu, mpaka sasa nimechoka kuwa katika mahusiano tena.

Wanaume kwani kama umempenda mtu na una malengo naye kuna haja gani ya kufanya mapenzi kwanza? Au ndo nyie ambao mnataka kuonja then mtathimini kama linafaa au halifai? Halafu, kama kweli mnakuwa wakweli kwanini mtu anapokataa kutoa penzi kwa muda wa miez 3 na zaidi mnaondoka kimya kimya? Tena wengine wanajifanya wana hofu ya Mungu kabisa na wanaijua dini lakini ndiyo wa kwanza wanaendekeza ngono, badala ya kuangalia vigezo vingine vya mke sahihi.

Sasa sijajua huu msimamo wangu utanikosesha mume au la, maana mie msimamo wangu ndiyo huo. Ukinifuata hakuna sex mpaka nijihakikishie na tumeelewana hata kwa miezi 6. Yakikushinda basi unaweza kwenda, na wanaondoka kimya kimya.

Je, wakuu ninachofanya nakosea; kukataa kutoa penzi mpaka kwa wakati maalum? Au ndiyo mtu ukubali kutoa ale then asepe, aje mwingine ale asepe?
 
Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
31,644
Points
2,000

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
31,644 2,000
Mimi nachouliza tu inamaana jimbo lipo huru? huu mwaka kweli wangu wanasiasa wao wakigombania huko majimbo nami nina langu hapa.

Hao wameshindwa kukushawishi tu mama usihofu mie nitaweza kukushawishi walau tuwe tunaonja mara moja kwa siku. Siunajua kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani?
 
Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,588
Points
2,000

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,588 2,000
Sikiliza Dada Nadhani huna elimu sahihi juu Ya kiumbe kinachoitwa Mwanaume. Kwa Mwanaume sex ndio kila kitu. Nenda east au West Mwanaume aliye rijali hitaji lake kubwa ni sex! Ni juu yako Wewe mwanamke sasa ku choose wisely nani wa kumpa tunda na kwa wakati upi. Mwanaume anaweza akasema anavumilia mpaka ndoa lkn ujue kuna sehemu wakati anakusubiri Wewe anatoa ugwadu wake. Utamuona mwema sana lkn kumbe somewhere anaburudika. Na hii ni nature yaani maumbile yetu yalivyo, tunahamasika kwa kuona! Wewe Mtoto mashalaa unakuja kwangu unavigezo vyote nnavyovihitaji tuko wawili tu Mimi hisia lazima zinipande sasa utakaponikatili nisipooze mzuka lazima nikuone unaniyeyusha! Mbaya zaidi naweza nikawa nasubiria kumbe kuna mjanja analala nacho usiku kucha anagongea bureee. Kwa hiyo Dada yangu cha kwanza jua Mwanaume rijali hapitishi siku atataka agonge, ukimnyima atatokea the other side akapunguze ugwadu wake. Hapo nipo akina mama kwenye ndoa wanapolia kutokujua mwanaume anahitaji nini! Hatuhitaji mitoko wala Shopping tunahitaji game game na watching football not tamthilia
 
Nnarudisha mpira kwako mwalimu Kashasha.
 
kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
565
Points
1,000

kijazi07

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
565 1,000

Nilitaka kuandika ila umemaliza kila kitu

Eti wanadhan kukaa bila kutoa papuchi ndo anapima mapenzi ya kwel hamna kitu kama hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirmweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
339
Points
500

sirmweli

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
339 500
Wanaume kwani kama umempenda mtu na una malengo nae kuna haja gani ya kufanya mapenzi kwanza?

Na ss tujibu kama umempenda mtu na una malengo nae kuna haja gani ya kutofanya mapenzi kwanza?

Kuanzia leo unatakiwa kujua kwamba kila mtu mwenye akili timamu lengo lake kuu ni kujitimizia mahitaji yake hivyo hao watu waliopita kimyakimya binafsi nawapongeza kwa kuona mapema kuwa hawawezi kunufaika na ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
13,554
Points
2,000

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
13,554 2,000
Sikiliza Dada Nadhani huna elimu sahihi juu Ya kiumbe kinachoitwa Mwanaume. Kwa Mwanaume sex ndio kila kitu. Nenda east au West Mwanaume aliye rijali hitaji lake kubwa ni sex! Ni juu yako Wewe mwanamke sasa ku choose wisely nani wa kumpa tunda na kwa wakati upi. Mwanaume anaweza akasema anavumilia mpaka ndoa lkn ujue kuna sehemu wakati anakusubiri Wewe anatoa ugwadu wake. Utamuona mwema sana lkn kumbe somewhere anaburudika. Na hii ni nature yaani maumbile yetu yalivyo, tunahamasika kwa kuona! Wewe Mtoto mashalaa unakuja kwangu unavigezo vyote nnavyovihitaji tuko wawili tu Mimi hisia lazima zinipande sasa utakaponikatili nisipooze mzuka lazima nikuone unaniyeyusha! Mbaya zaidi naweza nikawa nasubiria kumbe kuna mjanja analala nacho usiku kucha anagongea bureee. Kwa hiyo Dada yangu cha kwanza jua Mwanaume rijali hapitishi siku atataka agonge, ukimnyima atatokea the other side akapunguze ugwadu wake. Hapo nipo akina mama kwenye ndoa wanapolia kutokujua mwanaume anahitaji nini! Hatuhitaji mitoko wala Shopping tunahitaji game game na watching football not tamthilia
Umetoboa siri zetu kwa kiwango kikubwa sanaaa.Itabidi tukupe kesi ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipekidogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
1,134
Points
1,980

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2019
1,134 1,980
Sikiliza Dada Nadhani huna elimu sahihi juu Ya kiumbe kinachoitwa Mwanaume. Kwa Mwanaume sex ndio kila kitu. Nenda east au West Mwanaume aliye rijali hitaji lake kubwa ni sex! Ni juu yako Wewe mwanamke sasa ku choose wisely nani wa kumpa tunda na kwa wakati upi. Mwanaume anaweza akasema anavumilia mpaka ndoa lkn ujue kuna sehemu wakati anakusubiri Wewe anatoa ugwadu wake. Utamuona mwema sana lkn kumbe somewhere anaburudika. Na hii ni nature yaani maumbile yetu yalivyo, tunahamasika kwa kuona! Wewe Mtoto mashalaa unakuja kwangu unavigezo vyote nnavyovihitaji tuko wawili tu Mimi hisia lazima zinipande sasa utakaponikatili nisipooze mzuka lazima nikuone unaniyeyusha! Mbaya zaidi naweza nikawa nasubiria kumbe kuna mjanja analala nacho usiku kucha anagongea bureee. Kwa hiyo Dada yangu cha kwanza jua Mwanaume rijali hapitishi siku atataka agonge, ukimnyima atatokea the other side akapunguze ugwadu wake. Hapo nipo akina mama kwenye ndoa wanapolia kutokujua mwanaume anahitaji nini! Hatuhitaji mitoko wala Shopping tunahitaji game game na watching football not tamthilia
Ushamaliza kila kitu Mkuu, Mimi ni nani nieleze kingine zaidi ya hiki ulichoeleza, ngoja nibaki kusoma comment tu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
2,167
Points
2,000

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
2,167 2,000
Ukishakubali kuwa Manta angu huna Amri juu ya mwili wako vivyo hivyo na kwangu Shuuuuwaini , Nakutongoza leo ukikubali Mgozi Shifre naula kilainiii acha Habari za ajabu ajabu , Unadhani mwanaume anakutongoza ili
Wanapatikana lakini changamoto kubwa ni wanataka sex kabla ya mambo yote, ukizingatia mie sharti langu la kwanza hakuna kufanya mapenzi mpaka kwa kipindi fulani ambacho tutajipangia, wengi wa wanaume wanaokuja tunaishia njiani kwani wao wanakuwa hawawez kukaa bila kufanya mapenzi. Na mie sikubali basi tunaishia kuachana tu, mpk ss nimechoka kuwa katika mahusiano tena.
hiyo ndo prior no 1 🍎
 
Sweet16

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
3,348
Points
2,000

Sweet16

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
3,348 2,000
Mimi nachouliza tu inamaana jimbo lipo huru? huu mwaka kweli wangu wanasiasa wao wakigombania huko majimbo nami nina langu hapa.

Hao wameshindwa kukushawishi tu mama usihofu mie nitaweza kukushawishi walau tuwe tunaonja mara moja kwa siku. Siunajua kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani?
Kulala kwa hadhira???? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
2,167
Points
2,000

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
2,167 2,000
Wanaume kwani kama umempenda mtu na una malengo nae kuna haja gani ya kufanya mapenzi kwanza?

Na ss tujibu kama umempenda mtu na una malengo nae kuna haja gani ya kutofanya mapenzi kwanza?

Kuanzia leo unatakiwa kujua kwamba kila mtu mwenye akili timamu lengo lake kuu ni kujitimizia mahitaji yake hivyo hao watu waliopita kimyakimya binafsi nawapongeza kwa kuona mapema kuwa hawawezi kunufaika na ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika manunuzi ya machungwa ,(Matunda kwa ujumla lazima Uminye minye , Uonje, Na ikiwezekana usinunue )
 
Forum statistics

Threads 1,390,281
Members 528,138
Posts 34,048,110
Top