Ambao hamjaoa huu ndio muda wenu wa kuoa sababu hakuna gharama

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Serikali imepiga marufuku mikusanyiko sababu ya COVID19, hivyo hata gathering kwa ajili ya sherehe za Harusi au Send Off haipo.

So vijana ambao bado hamjaoa hamna visingizio tena sijui vya kuogopa gharama, muoe sasa kabla Corona haijaisha.
 
Back
Top Bottom