Hii imekaaje wadau

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,411
2,138
Habari za muda humu, I hope mko poa sana. Ebana kuna kitu nataka ni share nanyi humu ndani, je unaweza kumuomba mtu urafiki?.

Story ipo hivi kuna jamaa nilisoma nae chuo tulikuwa japo course tofauti hatukuwa tunafahamiana sana by that time just ni mtu nilikuwa na muona tu kama chuomates wangine, sasa tulivyomaliza chuo kama wiki kadhaa hivi nikaonana nae mahali nikamsalimia because sura haikuwa ngeni sana tukapiga story mbili tatu za chuo basi na akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa John.

Baada ya pale sikuonana nae kitambo tu kama mwezi hivi as chuo tulikuwa tushaondika siku moja text ikaingia whatsapp akajitambulisha mimi flani nikamwambia tuma picha nikuone akatuma nikamkumbuka nikasave namba yake sasa baada ya hapo akawa anacheki status zangu na mie pia hivyo as kama washikaji.

Sasa siku moja katika kuchati akasema anapenda niwe rafiki yake hiyo kauli sikuielewa maana siyo jambo la kawaida mtu kukuomba urafiki as urafiki unakuja tu automatically.

So hii inakuaje wadau?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbna naona kama fikra zako zmeenda sawa na zangu zilipoenda?!

Sema mkubalie kama unahitaji awe friend wako the rest atakuambia yeye kama yapo
Are you thinking what am thinking??
IMG_20200408_170412.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna naona kama fikra zako zmeenda sawa na zangu zilipoenda?!

Sema mkubalie kama unahitaji awe friend wako the rest atakuambia yeye kama yapo

Mmmh ngoja nijaribu nione


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari za muda humu,I hope mko poa sana.Ebana kuna kitu nataka ni share nanyi humu ndani,je unaweza kumuomba mtu urafiki?.Story ipo hivi kuna jamaa nilisoma nae chuo tulikuwa japo course tofauti hatukuwa tunafahamiana sana by that time just ni mtu nilikuwa na muona tu kama chuomates wangine sasa tulivyomaliza chuo kama wiki kadhaa hivi nikaonana nae mahali nikamsalimia because sura haikuwa ngeni sana tukapiga story mbili tatu za chuo basi na akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa John,baada ya pale sikuonana nae kitambo tu kama mwezi hivi as chuo tulikuwa tushaondika siku moja text ikaingia whatsapp akajitambulisha mimi flani nikamwambia tuma picha nikuone akatuma nikamkumbuka nikasave namba yake sasa baada ya hapo akawa anacheki status zangu na mie pia hivyo as kama washikaji sasa siku moja katika kuchati akasema anapenda niwe rafiki yake hiyo kauli sikuielewa maana siyo jambo la kawaida mtu kukuomba urafiki as urafiki unakuja tu automatically so hii inakuaje wadau?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wadau kwa nnavyoelewa mimi ni rahisi kwa jinsia tofauti kuombana urafiki kama unahitaji atention ya mtu. *Kwa jinsia tofauti nakazia*

Kawaida wanaume hatunaga issue za kuombana urafiki.Ni kuchati tuu mpaka mnajikuta marafiki sasa ikitokea mwanaume anakuomba urafiki mwanaume hiyo ni sawa na mwanaume kukwambia "nimemiss kukaa karibu na wew" "Mambo(bora hata aseme mambo vip" "akuite myn".....

Muulize anaishi wapi tusije tukahoji sana kumbe anatokea buza(just kidding)

Em tuambie huwa unaenda gym?
Una six pack au uchebe na pala?
Pengine tunaweza pata jibu man

Ngoja nikavute tena nakuja
 
Back
Top Bottom