shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Hii imenitokea mara nyingi soon after kukubaliwa napigwa vizinga ila nashukuru Mungu huwa napanga mwenyewe nitumie kiasi gani kwa kila mwanamke na namla mara ngapi hivyo hiwa siendi kwa hasara.
Mwaka 2018 nilikuwa nafuatilia kuunganishwa na huduma ya maji nyumbani, kuna dada alikuwa anahusika na utoaji wa vifaa na kugawa mafundi nilitokea fahimiana naye tukawa tunachat za hapa na pale sio mara nyingi ila ikitokea kaweka status namsifia namuomba anitembelee ana ahidi kuja lakini haji inaisha hivyo sikuwa serious naye alikuwa anaonekana na mashauzi.
Kama mwezi umepita hivi aliweka status nikamsifia kama kawaida yangu nikamuomba wikendi tuonane akasema kesho anakuja makao makuu yao atakuja nisalimia kazini tupo jirani, ila bahati mbaya hakuja alisema kuna maintainance mloganzila alienda na mafundi akaomba jpili kama na nafasi tuonane nikasema poa.
Jpili imefika alinicheki mapema tukaonana lodge nikala mzigo nikampa nauli akagoma kuwa nauli anayo nikasema poa j5 akanicheki tena kanimiss nikaenda nikala mzigo hakuchukua nauli.
Shida imeanza baada ya kuonana mara ya pili, kuna laptop yake imevunjika display ila hataki tengeneza anataka mpya ya laki 7 kaomba nimuongezee laki tatu nikamwambia asubiri sikukuu ipite.
Juzi alisafiri enda kwao kuna msiba kaniambia anaomba laki na nusu kasahau ATM kadi atanipa J3 kwa kweli nikamblock hapo hapo bila kujibu nimemuona ni muhuni fulani alikuwa ananilia timing tu.
Sent using Jamii Forums mobile app