Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau. Aisee leo nimeona post moja mtandaoni na nikastaajabu sana yaliyojiri katika hiyo post. Study ilikuwa inahusu miongoni mwa mambo au matukio yanayoongoza katika kuua watu..... Ukimwi...
1 Reactions
1 Replies
967 Views
  • Closed
Habari wanajamvi wenzangu!! Poleni kwa Majukum Kwa jina naitwa John, Umri wangu miaka 28, Elimu yangu ni Shahada Ni mkazi wa Mwanza Nipo hapa kutafuta rafiki/mwenza ambae yupo serious na anaejua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyie wanawake acheni kututapeli. Unakuta mtu uko na msimamo wako wa kufanya mambo fulani ya kimaendeleo, mara tu baada ya kupokea simu ya mrembo anakubembeleza kwa maneno malaini, anakupa hisia...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwanaume hata akiwa kama MBOGO vipi lazima kuna sehemu ana lainika tu Waswahili wanasema hakuna chuma chakavu ndani ya grisi, never Yafuatayo yatakusaidia kumvuruga mwanaume kichwa bila hata...
48 Reactions
212 Replies
18K Views
If you as a man has a woman who have these 7 qualities, never let her Go. Men are amazing and the fact is that a good man must always want the right women. Because they love Good things...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Utangulizi hapo juu, unamaana, Ningependa kumpata mwanadada anayejitambua, anampenda Mungu na kujiheshimu. Elimu sio dili, vigezo hapo ndio vinamata. Mimi ni MKRISTO. Awe na umri kati ya...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Poleni na mihangaiko ya kila siku huku mkiendelea kuchukua tahadhali ya kujikinga na corona sweet. Kwa leo ningependa kuuliza What's your opinion on dating a friend's ex? Guys ,is it Wrong? Is...
7 Reactions
83 Replies
12K Views
Nimejisikia vibaya sana mke wa mtu anasaulwa pichu mchana kweupe gesti jina nalihifadhi.Mke huyo wa mtu ambae mumewe pia ni mtumishi hana analojua lakini nimemjulisha bila kujua ni Mimi nilie...
12 Reactions
145 Replies
15K Views
Wadau hivi kuna uhusiano wowote kati ya size ya uume na kumfikisha mwanamke kileleni? Mwenye uzoefu tafadhari sana.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Takribani miazi 2 sasa nafuatilia manzi mmoja bado hakijaeleweka, nimeanza mfahamu zaidi ya miaka 4 sasa mwezi uliopita yaani wa 9 nilibahatika kukutana nae na nikamuomba mawasiliano akazingua...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
NDOA ni tamu ndugu yangu asikwambie mtu, kosa ni pale wanandoa au mwanandoa mmoja anapofanya ngono nje ya ndoa, kujali sana ushauri wa watu wengine wa nje wakiwemo ndugu na wazazi au marafiki...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Ameandika Janet Otieno, muimbaji nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya. ______________________ Wapendwa wanaume, Muda mwingine Mimi hujiuliza mnatoa wapi hizi nguvu. Kwa miezi unakaa bila hata...
11 Reactions
39 Replies
5K Views
Nawasalimu toka Kijiji Cha Wishiteleja. Wilaya Kishapu, Mkoani Shinyanga. Ngoja twende kwenye mada, maana staki kumchosha mtu hapa. Sasa baada ya kuweka tangazo la kutafuta Mchumba, Mume nk...
9 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari zenu wana JamiiForums Naomba kushare na ninyi hiki kitu maana kimekuwa kikinisumbua sana. Nimekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambaye ametokea kunipenda sana na kweli yule...
4 Reactions
89 Replies
13K Views
Habari wana jamvi wenzangu natumai tupo salama na tunaendelea kuijenga nchi huku tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya janga hili la Corona aka COVID19. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucheki...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau wa liwale mjini wapi kuna viwanja vizuri vya kutulizia mawazo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hivi kuna aliyewahi kupitia hili! unakua na mwanaume au mwanamke ambaye mkigombana kidogo tu anakutushia kuanzia leo mi na wewe basi mara nitambue kama mzazi mwenzio tu kuanzia leo hivi hii...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Nilichojifunza katika mahusiano,kama kula yako ni ya tabu usiingie kwenye mahusiano, utagongewa mpaka ichakae.Tafuta kwanza pesa hata ya kubadilishia mboga ndio uingie kwenye mahusiano...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Virus vya COVID-19 vimepelekea uchumi kuwa mgumu sana na imepindukia hasa kwa watu wasio na vyanzo na kipato maalumu. Nawatahadharisha wanaume wazee wa michepuko, sasa kuna mtundo wa wadada wengi...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom