Naomba ushauri kwa hili

Naomba ushauri kwa hili

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
2,467
Reaction score
3,286
Kuna binti nilimpenda ila sikuwa na lengo la kuja kumuoa yaani nilimtamani tu kwa lugha nyingine kutokana na kuumizwa katika mapenzi niliamua kuwa kama "playboy " .

Lakini siku zimepita na nimeona kuna utofauti mkubwa na wale wanyuma coz binti ananipenda sana nimeshamfanyia vituko vingi na ninafanya vituko ili tutengane lakini kila ninachofanya anavumilia nimejikuta nimebadili tabia.
Kubadilika mimi siyo tatizo tatizo linapokuja huyu binti tayali nimemkuta ana mtoto.

Na alinieleza Mzazi mwenzie aliikataa mimba na anamlea mtoto mwenyewe toka mimba bila Baba coz Baba alimkataa mtoto na mtoto hivi sasa ana miaka miwili.
Naitaji maoni kutoka kwenu je nikija kuoa haita niletea shida baadae. Au nioe tu.

Note:mimi sina mtoto hata wakusingiziwa.
 
Ningekuwa mimi ningeweka upumbavu wangu pembeni na mambo yote kisha nikatumia akili zangu kufanya maamuzi.
 
Mkuu story yako na yangu zinafanana kabisa aise, Dem alikua na tabia nzuri, haombi hela, mnyenyekevu ila nilipogonga mwamba ni hapo alikua na mtoto

Ushauri wangu hakikisha umeliona kaburi la baba wa mtt wake ndo umuowe ila Kama yupo hai unaowa mke wa mtu hapo, na mwanamke asiwahi kukudanganya et anakupenda kuliko yule Alie zaa nae awali

Sent using GunTrigger
 
Oa tu mkuu ila hakikisha hawana wasiliano na baba wa mtoto, maana hawa single mother sio kabsa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu story yako na yangu zinafanana kabisa aise, Dem alikua na tabia nzuri, haombi hela, mnyenyekevu ila nilipogonga mwamba ni hapo alikua na mtoto

Ushauri wangu hakikisha umeliona kaburi la baba wa mtt wake ndo umuowe ila Kama yupo hai unaowa mke wa mtu hapo, na mwanamke asiwahi kukudanganya et anakupenda kuliko yule Alie zaa nae awali

Sent using GunTrigger
Duu kuna kitu nimeelewa hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom