Naombeni ushauri jamani

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,419
3,388
Mimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae tu,jana kaja na nguo na viatu kanigea

Kamwambia yule mfanyakazi mwingine awe anasikiiza Mimi,hela ya matumizi naachiwa Mimi,mfanya kazi kaambiwa Mimi nikisema hafai na kazi imeisha, sijaelewa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naamini kwa lengo la uzi huu, ulishapredict feedback uliyoitarajia kwa members.

Tuseme na iwe hivyo.
 
Mimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae tu,jana kaja na nguo na viatu kanigea,kamwambia yule mfanyakazi mwingine awe anasikiiza Mimi,hela ya matumizi naachiwa Mimi,mfanya kazi kaambiwa Mimi nikisema hafai na kazi imeisha, sijaelewa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsia yako! Kama ni wakike amekupenda uwe kama ndugu yake wa hiari hakuna jingine. Au inaweza kuwa ni gia ya kuelekea kwenye usagaji.

Kama wewe ni wakiume atakuwa anahitaji uwe ndugu yake wa hiari au ni maandalizi ya kuwa baba mwenye nyumba.

Hayo yote ni hisia tu lakini ukweli anao mwenyewe, muulize mkitulia kuwa kwanini anakufanyia yote hayo atakachokujibu Ndio uhalisia.
 
Mada kama hizi ndiyo zinazo wafanya baadhi ya members humu kuuliza maswali ya aina hii

" Hivi shule zinafunguliwa lini jamani ili watoto warudi shule" au "Hivi hii likizo ya Corona inaisha lini ili watoto warudi shule"
 
Mimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae tu,jana kaja na nguo na viatu kanigea

Kamwambia yule mfanyakazi mwingine awe anasikiiza Mimi,hela ya matumizi naachiwa Mimi,mfanya kazi kaambiwa Mimi nikisema hafai na kazi imeisha, sijaelewa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia hapo, uolewe taratiibu... Papara zinaharibu mambo
 
Hapo si amekupandisha tu cheo au we huelewi nn au umeshaanza kuvuta hisia za mepenzi upo nae kwa bed


Sent using GunTrigger
 
kula mema ya nchi(kula mpini,ama orijino mpini au dildo!!)

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Mkuu ole wako umtongoze boss wako utafukuzwa wewe na huyo mwengine na kazi nayenyewe inaweza zirwa!
We wasikilize hayo yanayokushauli ati kula mema ya nchi😂
Nchi yenyewe inakorona.
Subiri akuajili pia kuwa mpenzi wake.
 
Back
Top Bottom