Leo nimejiself karantini na kale kabinti

Leo nimejiself karantini na kale kabinti

Joined
Apr 15, 2020
Posts
13
Reaction score
11
Nyieeee mpooo,

leo nimebahatika kujiself karantini na kale kabinti kazuri kazuri nilikowaambia,

Saaaasa nawaomba mnishauri jamani wakati tukiwa uku na ako kabinti tufanye nini??

wazazi wake wamesafiri na pia wale kaka zake walionifukuza pia hawapo.
 
EATV wameanzisha programm ya kufundisha masomo fungulia TV utazame ili shule zitakapo funguliwa usiwe nyuma kimasomo
 
Nyie fanyeni tu!


Mods pigeni pini huu uzi...
 
Back
Top Bottom