Niliamua kuacha uzinifu baada ya kukutwa na mke wa mtu

pagalwema

Member
Sep 17, 2018
95
129
Salaam kwenu poleni kwa majukumu ya kila siku
Corona ipo na inauwa, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada
Hongereni Sana nyie mliokoka kutoka moyoni na sio machoni

Kama hunywi pombe huzini huibi hudhurum husengenyi jiite tu we mkamirifu
Ingawa hakuna mkamirifu chini ya jua mi nilikuwa kwenye kundi la uzinifu Ila kwa Sasa Basi
Kifupi nilikutwa na mke wa mtu aliyesema Hana mume mwisho wa siku yaliyonikuta

Cha kwanza kutepeteshwa fedha zote za mauzo thamani ya laki mbili na sabini makofi yasiyoelezeka ngumi mateke Ila nashukuru hakukuwa na mambo mabaya dhaidi
Ili yaishe thamani iyo ya fedha ndio iliweka mambo sawa

Lakini kikubwa nilichojifunza kuwa dhambi zote zilizoandikwa kitabuni bibilia kuruan zote zipo na Zina nusra kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Pole sana ila mshukuru Mola wako ka mwenye mke hakukufanya mke wa pili. Pesa ni nini yakhe hadi sasa ushazipata kama zile au zaidi ila marinda yakiisha fumuliwa hayashoneki hata kwa uudi kuchomewa.
Lakini, nadhani huo ni mchezo wa huyo mtu na mkewe kujifanya kufumania ili washibe siku hiyo. Mujini shule kaka
 
Kwenda zako huko duniani hakuna anaeweza kujisemea ameokoa hata kama akajifariji kwamba ameokoka mpaka rohoni ninachokiona kwako ni huko kufumaniwa na mke wa mtu kumekuchanganya,najua mengi uliyofanyiwa umeyaweka pending.

It seems huyo mke jamaa aliowa single mom akapewa kwa mahari ya asante but angekuwa ameowa mwanamke aliye na heshima yake hizo 270K zingekuwa za kukodi watu wakufunze adabu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Principle,'kula mke wa mtu iwapo mumewe unamzidi kipato au power'
 
kwa uchungu huo na hisi kuna mengine hujayasema wewe...

anyway na hiyo ndio turning point yako wakati mwingine mtu haweza kuacha tabia ovu hadi afikwe na uovu hasa akinusurika na ouvu huo.
kila mtenda ubaya na mabaya anasiku yaka mbaya.
 
Write your reply...angekuwa mke wake kweli lazima ungepakwa mafuta ,au urikodiwe uchi au wakujeruhi

huyu ni muhuni tu kapanga nae upigwe
 
Dah! Pole sana ila mshukuru Mola wako ka mwenye mke hakukufanya mke wa pili. Pesa ni nini yakhe hadi sasa ushazipata kama zile au zaidi ila marinda yakiisha fumuliwa hayashoneki hata kwa uudi kuchomewa.
Lakini, nadhani huo ni mchezo wa huyo mtu na mkewe kujifanya kufumania ili washibe siku hiyo. Mujini shule kaka
kabisaa,mwanaume akufumanie achukue pesa akiache!!!sijui utampa nini itakayosafisha fadhaa uliyompa.

ndio maana huwa wana demand jicho ili iwe 43:57.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda zako huko duniani hakuna anaeweza kujisemea ameokoa hata kama akajifariji kwamba ameokoka mpaka rohoni ninachokiona kwako ni huko kufumaniwa na mke wa mtu kumekuchanganya,najua mengi uliyofanyiwa umeyaweka pending.

It seems huyo mke jamaa aliowa single mom akapewa kwa mahari ya asante but angekuwa ameowa mwanamke aliye na heshima yake hizo 270K zingekuwa za kukodi watu wakufunze adabu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Bro. Acha kuwazarau ma single mom.
Kwani ni hatia mno mtu akiwa single mom? Inamfanya mtu awe hana thamani? Kuna single mom wengi wapo vizuri kuliko hata vitoto 20's

By the way, % ya unaowaita single mom wamezinguliwa na wanaume, na single wengi wana spirit ya ku fight sana mzee, wanapigana kwa ajili ya mtoto / watoto wao. Wape respect yao.

Only boys ndio watawaza kwa udogo hivo
 
Hiyo michezo ipogo sana hususa mjini.
Mfano maeneo ya kinondoni n.k

Wengine ni bosheni , wengine unakuta ni bwana tu mhuni mhuni asiye na kazi,
Wanapanga na mwanamke kutega mingo,
Kisha mwanaume anajifanya kuja kuwavamia na kutaka kuwapiga picha na kukuadhirisha,
Salama yako utoe hela uwape.

Mbona yanawatokea wengi tu.

Nakutia moyo kama umeamua kuokoka basi maanisha hivyo usiridi nyuma.

Jifunze maneno ya Mungu mara kwa mara na kuyafanyia kazi.

N.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom