Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,596
- 65,037
Hali ni tete...
Wale wanaobadilisha badilisha wapenzi,muda huu si rafiki. Ukipigwa chini hesabu maumivu,huu ni muda wa kunyenyekea kwa mpenzi uliyenaye ili uendelee kuishi na kutumia rasilimali mlizonazo.Uchumi wa dunia umeyumba kwa sasa, ukicheza tu utakufa kwa njaa na unayemtegemea utakuta anajipambania yeye mwenyewe aweze kuishi.