Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 510
- 1,337
Maisha haya acheni wadau, nimepona la sivyo nilikuwa nakufa.
Kuna mwanamke mmoja nakulaga kimtindo, sasa leo nipo naye baa maeneo ya Arusha nashangaa njemba mbili zimekuja moja inadai manzi wake, sijui mke wake.
Jamaa akaanza kumpa kipondo mwanamke, mimi nimekimbia.