Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake. Tulicheka na nikajua utani...
5 Reactions
68 Replies
9K Views
Nikitembelewa na rafiki wa kike nakuwa na hofu sana hata performance inapotea tatizo nini au dawa yake nin msaada mwenzenu nimenaswa.
2 Reactions
106 Replies
8K Views
Kwanza mwanaume akishakuzoea romance zinapungua anaanza ubinafsi wa kujiridhisha mwenyewe. Hapo ameshatoka kunywa bia zake utasikia mimi ninalala kesho nina mkutano wa muhimu sana. Sasa hii...
8 Reactions
43 Replies
6K Views
Hiki kipindi kwa wale tulio single ila tuna michepuko ya kujipoozesha tunapataje shida Kwa Sasa inabidi tuwe single kiukweli yaani Sent using Jamii Forums mobile app
16 Reactions
136 Replies
14K Views
Wakati Mimi nakuwa nilikuwa naona vile ilivokuwa ngumu kwa mwanaume kumtongoza mwanamke hadi amkubalie amvue nguo..Hata wakati mwingine wanaume wengi waliliwa hela zao bila kuweza kuona...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi. Wasifu. Ni mama wa mtoto mmoja. Naishi Dar es salaam. Elimu yangu chuo...
12 Reactions
375 Replies
49K Views
Habari, Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30. Ni mwajiriwa na nina elimu kiasi. Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili. Ninayemuhitaji; Awe mkristo Awe matured Man mwenye kujitambua. Awe...
16 Reactions
224 Replies
24K Views
Habari Mdada wa miaka 31, natafuta mkaka ambaye atakuwa tayari kuwa mume. Vigezo: mstarabu, mchapakazi. mbaye pia sio HIV+ anakaribishwa.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu natumaini mnaendelea poa na majukum. Niende moja kwa moja kwa kwa yale yanayonisibu. Wakuu mi nimeoa takriban mwaka wa 7 sasa plus miaka ya uchumba na mahusiano it's almost miaka kumi nipo...
2 Reactions
86 Replies
9K Views
Kuna Faida ya kuwa mwaminifu kwenye mahusiano, na kuna hasara pia. Ila kwa mtazamo wa kawaida inaonekana kuna hasara kubwa sana kuliko faida. Je nini mtazamo wako kutokana na experience yako?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nimeokoka, ndio mwaka wa 30 sasa nipo ndani ya Yesu, ukubali ukatae hainihusu. Lakini sicho kilichonileta hapa, kilichonileta hapa ni hii kitu inaitwaga "NDOA" Ndoa Bwana hainaga mwenyewe...
23 Reactions
266 Replies
26K Views
Jamaa kwake ana mtoto wa kike wa rafiki yake ile kisasa wanaitana 'family friend'. Mtoto huyu yupo Form 4. Aliletwa kwa jamaa ili aweze kusoma kwa sababu Kwa jamaa kidogo mazingira ni rafiki...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mara nyingi wanawake wanapopata mimba hupitia kipindi kigumu sana kinachohusisha mabadiliko ya mwili/ hormonal changes. Hii husababisha wanawake wenye mimba kuwa na hasira sana na wakati mwingine...
1 Reactions
28 Replies
14K Views
Unajua wanaume wengine sijui hawana akili au ndio kujilipua sijaelewa, hasa hawa wanaume wanaojulikana kama Ben 10 😂😂 Tumetoka kuzika Mpendwa wetu tumerudi nyumbani, wanaingia watu kutoa pole...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Mnunnulie mpenzi wako zawadi adimu sio pesa ukimpa pesa kesho mwingine akimpa itakua part 2 movie la kichina. Agiza zawadi na vitu kutoka nje kupitia Triple m importer via facebook au call namba...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari, Natafuta mume muislam aliye na hofu na Mungu. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea awe mkoani kilimanjaro au Arusha. Nina miaka 28 na nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa. Shukrani
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Wasalaam wandugu... Kabla sijamwoa alinijua kuwa Mimi ni muislam,aliniahidi kubadili dini ila nimpe mda.maisha yamesonga miaka imepita tumejaaliwa kuwa na familia Siku za hivi karibun mwenzangu...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Nimetokea kumpenda huyu mtoto sana mwanzo alikuwa akiniita kaka, yaani kaka kwa nahisi hakupenda kunikata jina moja kwa moja. Lakini siku zilivyoenda moyo ulimpenda sana sana, siku moja ikabidi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za usiku note, Natumai mwisho wenu wa wiki unaenda vizuri. Bila kupoteza maudhui, hii ni kali kuliko sigara looh. Humu JF ndo nimekutana na binamu nyama ya hamu. Na hii imedhihirisha...
10 Reactions
230 Replies
30K Views
Wajameni kutangaza kutafuta mwenzi,rafiki na kadhalika hatimaye nimempata rafiki atakayenipa furaha pale nitakapokuwa bored,stress na katika furaha zangu. Kuolewa nj automatic ,kupata rafiki ni...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom