Mume kushindwa kummudu mke

Mume kushindwa kummudu mke

Wanabodi,

Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kuishi na mke kwa akili ndio maana yake kumcontrol? Hii tasfri ni yako mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri ya ki-Biblia imepotoshwa hasa na wakalimani, siyo kila kilicho andikwa kwenye Biblia za kisasa kina ukweli, Shetani ametumia mwanya huo kupotosha. kumbuka kilicho puliziwa pumzi ya Mungu ni ''Mungu'' hakiwezi kukosa akili.

KJV 116 imeandikwa hivi '' Be hold live with a woman according to knowledge'' neno '' Knowledge'' tafsiri yake rahisi ni ufahamu , kujua! ''siyo live with brain'' maana kwamba umjue, umtambue , umwelewe! ndiyo maana tunatongoza ili tuwajue kabla ya kukaa nao!

Lkn pia km unasema kushindwa kum -control. kitendo cha naishi naye tu! ni ufahamu tosha(akili) , sijamshindwa huyu ndo maana anaishi ila nimeamua kumpotezea maksudi.

Naweza hata kumtenga chumba, lkn si tunaishi wote! kwa kutumia ufahamu wangu ndo maana yupo hapa, anakula anakunywa. suala ni kuishi yaani uhai wake na uhai wangu, viko active!

Tatizo linakuja kwa watazamaji, ndiyo atani judge hivo ndivyo sivyo! hilo ni tatizo lake yeye mtazamaji! but mimi najua nimefanya hivo kutokana ninavo muelewa mke wangu! ni ufahamu ( akili) pia. sifikii hatua hii kwa kutumia hewa, bali akili!

Ok! labda nimemuacha mke wangu! ni ufahamu pia wa kufikia maamuzi hayo, mfano nimejua ni mzinifu. mchawi, kaua(arbotion), kiroporopo! namuacha lkn huko ataendelea kuishi na mimi kimawazo. tutawasiliana haijaandikwa eti lazima uishi naye nyumba moja. mnaweza ishi lkn una keep distance!

Kifungu hiki kinawahusu wale wanaojinyonga, au wanao waua wake zao kwa ajili ya wivu wa kimapenzi hawa ndiyo wameshindwa kuishi nao hawana ufahamu, walichukua maamuzi ya kuingia kwenye mapenzi bila kujua tabia za wake zao! kwa hiyo hawa;

1. Hawaishi, Yaani mke haishi na Mume haishi wako ahela. sababu ya kujinyonga!

2. Ukimuua mke wako sababu ya wivu, wewe utaishi jela, ila yeye mke ataishi ahera, hamtakaa muonane kutubu, hapo hujaishi naye kwa ufahamu.

3. Ukimuacha akaenda kwao, au akaolewa tena na mme mwingine, hapa bado wote mnaishi! yeye anaishi kwake na wewe unaishi kwako, siku mnaweza kuonana hata mkaombana msamaha yakaisha! mkaendelea kusaidiana, km mtu baki! lengo ni ili mwende wote Mbinguni.

Haya mafundisho manyonge siyo siri ni ya Getrude Lwakatare mchungaji kipofu, anaingiza watu chaka sana, Hata Neno la una bii, Biblia haija sema kwamba ukishindwa kuishi naye wewe huna akili. hayo ni mafundisho ya kilokole kibinadamu zaidi wanasoma Neno km Gazeti.

Siku ya mwisho ya hukumu no ''excuse'' ooh! ''mimi Bwana Yesu nilidanganywa!'' Mchungaji asiyejua, pamoja na wafuasi wake ni vipofu wote mtaingia shimoni, kwa sababu imetabiliwa Biblical, long time ago that '' Let the Blind Lead the Blind they will all fall onto the endless pit'' nakazia Maarifa ''akili za kuambiwa changanya na zako'' alisema KIKWETE.
 
Ahsante
 
Back
Top Bottom