Wanawake mnaolazimisha mabwana zenu wakate/wabane mirija yao ya kutoa mbegu za kiume (sperms), hamjengi mnaharibu zaidi!!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,743
14,667
Nipo hospital hapa pembeni yangu wamekaa mademu 2 wanashauriana ujinga

Demu 1: mume wako ushamfuma mara kibao na wanawake na wewe Hali yako ndio kama hivi hauwezi kupata watoto tena, nakushauri mwambie akabane mirija yake ya kutoa sperms ndio atatulia hatozaa zaa nje watoto tena
Demu 2(mwenye mume kicheche): eh?! Kumbe inawezekana we, kwani inafanyika Tanzania iyo prosija?!
Demu 1: Ndio hata agha khan wanafanya, Jonas ubane mirija ya mumeo, atakuzalia Kila sehemu akifa unafanyaje kwenye miradhi mama
Kwako mpenzi msomaji:
Ivi kumkata mirija ya sperms mwanaume wako ndio kumkomoa au ndio mapenzi?! Hakunaga njia nyingine ya kumfanyia lockdown bwanako asizae zae ovyo nje??
 
Back
Top Bottom