Mafeking
Member
- Aug 21, 2018
- 45
- 93
Mimi ni kijana wa miaka 23, sasa nachukua fulsa hii kumtafuta baba yangu ki ukweli sijawahai ata kumuona, mimi naitwa Werema Mauridy Mwita na baba yangu jina lake Mauridy Hamis Mwita.
Nimeishi na mama pamoja na baba wa kufikia. Ninachokumbuka kuhusu baba ni Kazi yake niliona katika cheti changu cha kuzaliwa kuwa ni Mwalimu wa Sekondari, jina la shule Kibaha Sekondari sasa sijajua kama bado ni mwalimu au la.
Naomba msaada kwa atakae kuwa anamjua anisaidie kuna vitu nakosa upande wa malezi ya baba.
Asanteni japo siko vizuri kiuandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app