AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Ukiwa Mchamungu mfanya Ibada Unakwenda kanisani au Una swali sana swala tano... Unafunga mwezi Mtukufu wa Ramadhan unajitahidi sana katika ibada...
Mwema sana kwa Mungu wako...
Hatukatai... Ndio tunavyopenda hivyo... ILA JITAHIDI UNAYOYAFANYA HAYO YAWE NA ATHARI INAYOTARAJIWA KWENYE MWENENDO WA MAISHA YAKO...
NA JINSI UTAKAVYO AMILIANA NA WATU WA KARIBU YAKO... Uwe mtiifu kwa mumeo, una lugha nzuri... Tabia njema kwa ujumla...
Ukisalimiwa itikia ndio dini yako inavyohitaji... Sio unasalimiwa unakaa kimya hujui ni dhambi kubwa sana kutoikia salamu(specifically: Assalaam alaykum).
Sasa wewe na wanawake waovu makahaba unatofauti gani...
Kwa upande mwingine...
MWANAMKE UNAJITAHIDI SANA KWENYE IBADA ILA UTIIFU KWA MUMEO NI ZERO...
MWENYE LUGHA CHAFU NI WEWE...
Tunategemea ukiswali ukifunga ukijihifadhi basi IKUBADILISHE NA TABIA YAKO...
SWALA, SWAUMU NA IBADA ZAKO ZOTE NI KWA FAIDA YAKO MWENYEWE KWA MOLA WAKO...
LAKINI UTIIFU, TABIA NJEMA, MAHABA, KUJITUNZA NA KUJIPAMBA KWA AJILI YA MUMEO NA UTULIVU NI FAIDA YA MUMEO...
NA UKIFANYA KWA AJILI YA MUMEO... BASI UTAKUWA UMEKAMILIKA KIMATENDO... KWA SABABU MUMEO AKIRIDHIKA NA WEWE BASI NA ALLAH ATAKUWA AMERIDHIKA NA WEWE VILE VILE...
UTAKUWA HUNA SHIDA... BADILIKENI....
NB:-
"NA WANAUME HIVYO HIVYO(sio unaonekana mfanya ibada ila ibada haina athari katika mwenendo na tabia yako na jinsi unavyo amiliana na jamii yako) ... "
Sent using Jamii Forums mobile app