Mke wa mtu aliyepagana na huduma

Mke wa mtu aliyepagana na huduma

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
339
Baaga ya kula tunda nankuliwasha ipasavyo hataki kukubaki kuendelea kupata huduma aliyoapizwa kanisani badala yake gumegume Mimi dushe iliyojaa miiba. Inaliliwa na kimwana huyu.
Huduma zote kwangu, kazi yangu ya kupiga debe inaelekea ukingoni, kidume Mimi nimeahidiwa million za fedha. Sasa sijui nitanunua Nini. Akili yangu inanituma nununue mkoko. Kuna msure ana allexs anatakaM4 tu kidume ning'ae.
Huenda ikawa Siri yangu nanwana JF tu. Sitathubutu kumwambia mtu.
Na hata yeye wanasaikolojia mkae mwwndo wa kunipa mawazo.
Kwa uwezo wa kudumisha tendo nimeshushiwa. So mchezo mzee kugonga bao 6 bila kushuka.
Nyie wanawake mna nini? Nevermind mgawe mikwanja Kama wwnzenu.
 
Una akili ya kimasikini. Mpiga debe unataka upewe milioni kadhaa na wazo lako la kwanza ni kuvuta mkoko? Unafikiri mkoko unakunywa mchemsho? Na taa ya injini yake ikiwaka je?

Wekeza hizo milioni. Ni mke wa mtu huyo na bahati hiyo inaweza kukata anytime. Au unaweza kukamatwa na mumewe ukapigwa mpaka ukawa kipofu na hadithi ikaishia hapo.
 
Baaga ya kula tunda nankuliwasha ipasavyo hataki kukubaki kuendelea kupata huduma aliyoapizwa kanisani badala yake gumegume Mimi dushe iliyojaa miiba. Inaliliwa na kimwana huyu.
Huduma zote kwangu, kazi yangu ya kupiga debe inaelekea ukingoni, kidume Mimi nimeahidiwa million za fedha. Sasa sijui nitanunua Nini. Akili yangu inanituma nununue mkoko. Kuna msure ana allexs anatakaM4 tu kidume ning'ae.
Huenda ikawa Siri yangu nanwana JF tu. Sitathubutu kumwambia mtu.
Na hata yeye wanasaikolojia mkae mwwndo wa kunipa mawazo.
Kwa uwezo wa kudumisha tendo nimeshushiwa. So mchezo mzee kugonga bao 6 bila kushuka.
Nyie wanawake mna nini? Nevermind mgawe mikwanja Kama wwnzenu.
Nafikiri umezaliwa mtoto wa kiume kwa bahati mbaya
Sent from my Huawei
 
Back
Top Bottom