Mke wa mtu ananinyemeleanyemelea

Mke wa mtu ananinyemeleanyemelea

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
339
Haya maisha yanamaajabu makubwa sana. Dini zetu zinatuongoza kitotamani Mali za watu wengine. Tuinamishe vichwa vyetu chini, tujihifadhi na tuchunge tupu zetu. Mwanadam bado dhambi ya kula tunda inatuandama sana. Haiwezekani udai uonueshe dalili zote za kutaka kulala na mume wa mwenzio. Unataka kitu gani hasa.

Huyu mwanamama ni mtu ambaye katika ups and downs za maisha tulizoeana na heshima sana Kati yetu. Imekuja wakati anaonyesha dalili zote kumtaka mume wa mtu. Huduma Kama za mumewe, uchangamfu ninmkubwa na ukaribu unapitiliza. Nimelaimika kumweleza anachokotaka sio kitu kizuri.

Nimeamua kuwa karibu na mumewe Kila niwapo kwake Niko nae na akija kwangu pia mkewe hupenda kuja.
Kiafrika wanawake hukaa jikoni na kuandaa dinning, lkn Mara kwa Mara jicho lake analitupia kwangu.

Tukiwa sebuleni kwake, jirani mmj aliniuliza kwa sms kwa nn mke wa mwenyeji wetu anakuangalia sana?? Kusingi mm mchezo wote naujua zaidi naona ugonv na mgogoro na mwenyeji wangu utaanza.

Nyie wakidada mnataka Nini lakini??
 
Anza kutembea na mafuta ya Vaseline mkuu
 
We kabila gani?? Nadhani hujui hata mila za kwenyu. Mwanamke mwenye akili huchanganya kidogo damu. Huu ni mpango kati ya mama na baba kuwa, endapo kuna laana au ugonjwa wa kurithi uzimmalizie baba familia. Anajifanya ka juha lakini ana lengo jema kwa mumewe. Siku utamshibisha mahalage hatakuangalia tena. Huwa wanakuangalia sana ili siku ukimshibisha litokee lisura lako lenyewe.
Kua uyaone
 
Haya maisha yanamaajabu makubwa sana. Dini zetu zinatuongoza kitotamani Mali za watu wengine. Tuinamishe vichwa vyetu chini, tujihifadhi na tuchunge tupu zetu. Mwanadam bado dhambi ya kula tunda inatuandama sana. Haiwezekani udai uonueshe dalili zote za kutaka kulala na mume wa mwenzio. Unataka kitu gani hasa.

Huyu mwanamama ni mtu ambaye katika ups and downs za maisha tulizoeana na heshima sana Kati yetu. Imekuja wakati anaonyesha dalili zote kumtaka mume wa mtu. Huduma Kama za mumewe, uchangamfu ninmkubwa na ukaribu unapitiliza. Nimelaimika kumweleza anachokotaka sio kitu kizuri.

Nimeamua kuwa karibu na mumewe Kila niwapo kwake Niko nae na akija kwangu pia mkewe hupenda kuja.
Kiafrika wanawake hukaa jikoni na kuandaa dinning, lkn Mara kwa Mara jicho lake analitupia kwangu.

Tukiwa sebuleni kwake, jirani mmj aliniuliza kwa sms kwa nn mke wa mwenyeji wetu anakuangalia sana?? Kusingi mm mchezo wote naujua zaidi naona ugonv na mgogoro na mwenyeji wangu utaanza.

Nyie wakidada mnataka Nini lakini??
Fanya kumuuliza mume wake, atakupa majibu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amewezaje kukupenda na huo mwandiko wako usioeleweka?ila kumbuka siku hizi watu wanafumua marinda huku wanarekodi kwahyo maamuzi unayo ww
 
Haya maisha yanamaajabu makubwa sana. Dini zetu zinatuongoza kitotamani Mali za watu wengine. Tuinamishe vichwa vyetu chini, tujihifadhi na tuchunge tupu zetu. Mwanadam bado dhambi ya kula tunda inatuandama sana. Haiwezekani udai uonueshe dalili zote za kutaka kulala na mume wa mwenzio. Unataka kitu gani hasa.

Huyu mwanamama ni mtu ambaye katika ups and downs za maisha tulizoeana na heshima sana Kati yetu. Imekuja wakati anaonyesha dalili zote kumtaka mume wa mtu. Huduma Kama za mumewe, uchangamfu ninmkubwa na ukaribu unapitiliza. Nimelaimika kumweleza anachokotaka sio kitu kizuri.

Nimeamua kuwa karibu na mumewe Kila niwapo kwake Niko nae na akija kwangu pia mkewe hupenda kuja.
Kiafrika wanawake hukaa jikoni na kuandaa dinning, lkn Mara kwa Mara jicho lake analitupia kwangu.

Tukiwa sebuleni kwake, jirani mmj aliniuliza kwa sms kwa nn mke wa mwenyeji wetu anakuangalia sana?? Kusingi mm mchezo wote naujua zaidi naona ugonv na mgogoro na mwenyeji wangu utaanza.

Nyie wakidada mnataka Nini lakini??

Mkuu hivi hauna tabia za kishoga, usikute huyu mwana mama anataka tu kukuchezea makalio.....ebu mkubalie kisha uje utuoe ukweli.
 
Mmh pengine ukienda kwao hela uwa zina potea kwaiyo lazima hawe makini na ilo au una semaje
 
Usithubutu kuanza uzinzi na huyo mke wa rafiki yako.
Ukithubutu tu, ujiandae
1. Urafiki wenu kuisha.
2. Kupigana na rafiki yako
3. Kuuana
4. Kuaibishwa
5. KY kutumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom