Flatscreeners Kuwa na Akili Zaidi ya Vibonge

Flatscreeners Kuwa na Akili Zaidi ya Vibonge

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
605
Reaction score
681
Wakuu nakumbuka wakati fulani kulikuwa na huu mjadala humu. Kwa bahati mbaya sikuweza kufatilia hadi mwisho.

Msaada tutani kwa anaekumbuka conclusion/hitimisho lilikuwa nini.



========/=/=====
Chukua tahadhari korona inaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mtu flat anakuwa na akili, akinenepa anakuwa kilaza?na mnene anakuwa kilaza akikonda anakuwa na akili?

Kuna logic zingine za kipumbavu hadi naona aibu
 
mbona madem vibonge wengi wameajiriwa kuliko hao flat, hii mitizamo mingne ni ya kijinga kupita kiasi
 
Inawezekana....

Wabunge wanawake machachari wengi ni machachari sana.....

Wale vibonge hoi bin taabani....

Kuna mmoja leo kasema msinizingue[emoji851]

Now nimeelewa ni kwa sababu ya ubonge.....

 
Why are you all so obsessed with women's bodies?
Btw it's an unhealthy obsession.
Ndio maana hatuwezi kufika mbali kwa hali hii.
 
Back
Top Bottom