Nakupa pesa, hutaki kutoa uroda.
Wanawake wanapenda pesa, na wanaume tunapenda uroda, sasa hapo ni win win situation, nipe uroda nikupe pesa.
Sio natoa pesa uroda hutaki kutoa ndio nini sasa...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,poleni sana na Covid19(Corona),,Bhana Leo nitatumia Lugha ya Taifa na sio Ngareroo Slangs ili watu wote waelewe coz niliyoyakuta huku ni Nouma.
Tangia tarehe 19...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika
Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu
Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha...
Wanaume wengine bwana ni shida ingawa wanawake wapo pia lakini ni wachache sana ila wanaume wanaboa
Mwanaume John anaonyesha nia ya kukutaka lakini sijui ni kazi nyingi alizo nazo au ni...
Kwenye maisha yangu nimewahi kukutana na mabinti wawili ambao niliwapenda kwa dhati. Mmoja aliolewa na mwingine amepata mtu mwingine.
Hawa wanawake walikuwa wazuri kinoma na najuana nao tokea...
Shit happens, people change, feelings disappear, things fade and things go wrong, memories remain but life goes on. There are people who you think will be in your life forever that become distant...
Kudate na mademu njaa njaa maskini ni taabu sana. Yani wanahisi sie wanaume tuna hela muda wote. Hawatambui hii Corona watu tumepunguza madili ya hela
Wadada nyie michepuko mnaoishi kwa kudanga...
"Bloo achana na mpenzi wangu nina malengo naye"
Iwe aliyekutumia ni mwanamke au mwanaume kukutaka uachane na mpenzi wake (sio mke/mme), huwa unajibu nini.
Siku nilipotumiwa na mume wa mtu...
Mimi nitawaambia wanawake wanaume wanaowafaa kuolewa nao.
Mwanamke olewa na mwanaume ambaye pamoja na kununua gari jipya bado analijali na kulitunza gari la zamani.
Ukiona mwanaume anayelisusa...
Leo nikiwa ndani mida ya saa 2 asubuhi nikawa nimeboreka nikaamka nikaingia bafuni nikaoga maji vuguvugu kutoa uchovu wa long weekend.
Nikaingia social media kuperuzi baada ya kupata...
Nina mwaka mmoja sasa katika kampuni ninayofanyia kazi, katika kitengo nilichoko bosi wangu ni mama mtu wa makamo mwenye binti mmoja(ni single mother). Uyu mama ni mkali sana kiasi kwamba...
Huyu mwanaume wangu tunasoma wote chuo jana nilimpiga kibuti kalia lia kwamba amekosa raha siku nzima kwanini yeye anachukulia mapenzi serious mimi nachukulia mzaa nimerudiananae.
Amewahi...
Habari wanajamvi?
Kwanini Mademu walio wengi ni wepesi kutoka na Jamaa mwingine tofauti na mtu wake pale kunapokuwa na sababu zisizo za msingi?
Kwa mfanio, utamkuta Demu ameachika na Jamaa jana...
Binafsi nina relationship na msichana mmoja honest ananipenda na mimi ninampenda. Ni msichana anayenijali sana yeye kidogo ameanza teyari maisha na pia ana kazi na amepanga kabisa, kwa upande...
It is my hope that all is well on your end, I wish I could have done all I could to hold you, to not let you go.
Please, come back, I miss you, life has no meaning without you.
I wish I know...
Mambo zenu ndugu zangu
Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa...
Pyadyumna Kumar Mahanandi, aliendesha baiskeli kutoka New- Delhi india hadi Gothenburg, Swiden ili kukutana na mpenzi wake, Ann-Charlotte. Ilikuwa mwaka 1977, aliendesha baiskeli kwa umbali wa Km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.