Nadhani sitaoa maishani

Nadhani sitaoa maishani

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,166
Reaction score
2,416
Kwenye maisha yangu nimewahi kukutana na mabinti wawili ambao niliwapenda kwa dhati. Mmoja aliolewa na mwingine amepata mtu mwingine.

Hawa wanawake walikuwa wazuri kinoma na najuana nao tokea wadogo hivyo baada ya kuwakosa hawa sidhani kama nitaoa. Sipendi mambo ya kuoa mtu ambaye simjui background unakutana nae ukubwani.
 
Taking risk is risky
But not taking risk is riskier

Sijui umeelewa nilichoandika hapo juu
 
Back
Top Bottom