Mimi sio malaya ila natafuta rafiki ambaye atanipa kampani ya kuchart kuongea na kushauriana kukutana na kuongea tu sio kingine kama uko serious ni contact ila uwe Arusha
Habari zenu wajameni???
Mimi ni mzima wa afya kabisa,leo naomba tuanze safari kwa pamoja ya kuelekea kwa wahaya TANDIKA maeneo ya duble kebini,hapa kila mmoja atakuwa nafasi ya kipekee kusimulia...
Jamani kuna kitu kimenitatiza lakini baada ya kumuuliza muhusia akawa mkali wala hakunipa jibu la kueleweka man alianza kuja juu kujifanya mtakatifu,issue yenyewe n kama ifutavyo;
Kuna mdada...
Kuna kabinti flan iv niliwah kukapiga sound kitambo( kalikuwa kadogo) kakanizungusha sana nikakapotezea hiyo ilikuwa 2015. Sasa nimekutana nako mwez wa tatu mwaka huu keshakuwa binti mkubwa...
Thibitisha kauli hii kwa mifano hai ya wanawake unaoishi nao katika jamii,
Kwa nini wanawake wanachukuliwa kama chombo cha starehe?
Hawajui kutafuta pesa,wanapenda slope slope sana (vislay...
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu maswala ya mapenzi ya kweli.
Katika utafiti nilioufanya ni kwamba mapenzi ya kweli hutokea tuu pale mwanamke anapopenda. Mwanamke akikupenda hata hela hawezi...
Oh! Mara yule mwanamke anapenda sana Pesa, mara anatamaa sana.
Mara anazingua nampiga chini!
Tatizo sio kukuomba fedha, tatizo ni kwamba anakuomba fedha huku wewe huna?
Nje ya mada : Dada poa...
Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni kijana umri wangu ni miaka 36, nipo mkoani. Leo hii nimejitokeza kwenu ntafuta mke na sio mchimba sababu nipo tayari kufunga nae ndoa mara...
shule@urownrisk
THE 18 SIMPLE THINGS A WOMAN WANTS FROM HER HUSBAND
1. Give her your time. Don't make her beg for your attention. Women equate love with time. If she means a lot to you, she...
Hii kauli ambayo hutolewa na akina mama wengi kuwaambia watoto wa kiume wanaoingia katika mahusiano na mabinti zao huwa ni kama nuksi ya kuharibu uhusiano na usidumu.
Kimsingi aina ya wamama...
URAFIKI.
URAFIKI/RAFIKI. Ni uhusiano wa karibu wenye upendo, uaminifu na kujali kati ya watu wawili au zaidi. Kama binadamu tunahitaji kuwa karibu na watu ambao tunawapenda, tunawaamini na...
Nauliza hivi inakaaje una mtu ambaye aliachana na mpenzi wake wa zamani (Ex) miezi kadhaa iliyopita halafu anaendelea kuwasiliana naye? Ukimuuliza anakwambia ulibaki urafiki wa kawaida
Na kwenye...
Wakati mmoja nikiwa chalii wa miaka 7 tulikuwa tuna michezo yetu ya jioni ile ya kitoto, utakuta watoto mtaa mzima mnakusanyika kwenye mchibwalu (uwanja) wa nyumba moja wapo kwenye viunga vya...
Habari wakuu
Hivi ikitokea mke/mpenzi wako kaamua kunywa sumu kisa umemshtaki kwa wazazi wake kwa kukuibia pesa na una ushahidi.
Je, mtu kama huyu niwa kuendelea kuishi nae?
Kaka angu hapa...
Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke...
Habari ya muda huu wana jamvi!
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, je, ni kweli kwa wenza na wanandoa kuishi au kukaa pamoja kwa muda mrefu. Kunapelekea mahusiano kuimalika zaidi au kuvurugika...
Salaam kwenu wananzengo
Hivi hii imekaaje jamanii?
Nipo kwenywe mahusiano na binti mmoja hivi. Mwanzo wa mahusiano yetu mtoto alikua ananipa mambo matamu sana hadi nilikuwa namchapa goli 5 na...
Najiuliza bila familia leo mimi ningekuwa wapi? Ningekifunzaje tofauti ya upendo wa kiume kutoka kwa baba na kaka zangu na upendo wa kike kwa mama na dada zangu.
Najiuliza ile financial security...
Wakuu habari za asubuhi.
Nikiwa kama mkongwe na mshiriki wa kisoma post za members na kucomment leo nmeona nije na hili swali imenitokea nmeona kwa wenzangu na kushuhudia mubashara.
Pindi pale...
Nilipokuwa mdogo nilifikiri kuwa wanawake ni wapole, waliojaa huruma, lakini haya kwa 90% yamepotea kwa kadri ninavyoishi. Nimekuja gundua wanawake wanaongoza kwa manyanyaso na mateso kwa ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.