Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumaini mmeamka salama mimi nina huyu mwenzangu tunamiezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja nampenda nadhani na yeye ananipenda ni mtu ambae anasifa zote za kua mme ila tatizo ni moja tu...
10 Reactions
156 Replies
13K Views
Ni maneno ya bi mkubwa flani hivi wa kutoka huko dar aliyeamishiwa huku mji wa serikari dodoma aliyekuwa ananisumbua ili nikamchakate, Nilishamkataa mara kibao kwa kila mbinu kwa sababu kwanza...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa? Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana...
3 Reactions
78 Replies
12K Views
Wakuu, happy Mapinduzi day, Imani yangu ni kuwa mnaendeleaa vizuri na shughuli zenu, Wakuu naombeni niwasilishe hili mbele ya wadau wangu wa JF, mnipe mawazo na ushauri wenu maana, naona...
4 Reactions
73 Replies
17K Views
Mamboo zenyu? Hivi kwa sasa hivi mkiwa nyumbani tofauti ya kuangalia movie munafanya nini? Kwa upande wangu napenda kulala
0 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Closed
Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa Kitamu kama mwanamke ambaye anakuwa anatoa sauti kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki. Tatizo langu la mapenzi,poleni kwa usumbufu ila niko katika wakati Mgumu. Kuna Dada jirani alitokea kunipenda akatengeneza urafiki na Mimi, akawa anakuja...
4 Reactions
120 Replies
25K Views
Wadau nina mtoto wa kike ana miaka miwili sasa ila kinachonishangaza ana wivu wa kupindukia. Hataki kuona nambusu wala namkumbatia mama yake, anataka akumbatiwe yeye tu. Binafsi nahisi kama ana...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
USIITANGAZIE DUNIA MATATIZO YAKO" Unapokuwa na matatizo kila mtu hutaka kujua unatatizo gani akiwa na lengo lake moyoni. Je huwa tunajipa muda wa kutafakari aina ya watu amabao tnawasimulia...
23 Reactions
31 Replies
8K Views
Closed
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wana jf, mimi ni kijana wa miaka 32. Nipo kwenye mahusiono ya miaka 5 na binti wa watu mmoja. Nimekuja hapa jf kuomba ushauri kwa wakubwa zangu wenye uzoefu wa hili jambo maana...
5 Reactions
57 Replies
8K Views
Nakumbuka wakati nimetoka nchi za mabeberu miaka kadhaa iliyopita basi kufika home kwa bi mkubwa nakutana na totozi sio mkali ni Wa kawaida fulani sema plate namba kidogo ipo, baada ya muda...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Hili suala ni gumu kidogo ila binafsi ninaushahidi wa familia tatu za karibu. Moja ya jambo la ajabu , hawa second born wanakua na tabia tofauti na wengine wote na mara nyingi ni za kuudhi. Pili...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu mabadiliko yanakuja na changamoto nyingi tena zenye hasara za wazi kweli. Binafsi nimekuwa nikijipatia wanawake wengi mara nyingi ninapotoka kila siku kwenda town kwenye mihangaiko binafsi...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Urafiki ni kusaidiana kwenye majanga.. Kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri, wengine biashara kuanguka, kuachishwa kazi..na walikuwa wako kwenye nyumba za kupanga, na hatimaye hawajajua...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Nipo hapa na mwanaume mmoja, amekuja kumsalimia anakaribia kwenda kwake. Kifupi yupo singo, ana Miaka 35, hajaoa Sasa namwuliza mara ya mwisho kuzini na mwanamke ni lini ananiambia Miaka 3...
3 Reactions
121 Replies
11K Views
Waridi la moyo wangu, Tabasamu lako ndio furaha yangu, Kukupenda ndio chaguo langu, Muda wote upo kichwani mwangu, Asubuhi, mchana na jioni, Sina raha kama sijakutia machoni, Na usiku nakuota...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu Wiki ilopita nilileta uzi wangu hapa nikiomba kushauriwa kuhusu girfriend wangu kuamua kuniweka carantine ya mapenzi(Sex)kwa muda usiojulikana Niliamua kufuata ushauri wenu wa...
3 Reactions
47 Replies
8K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, hivi ni lazima sana kwenye kugegedana? Maana kwenye ule uzi pendwa wa kulana kimasihara hakuna hata shuhuda mmoja ambaye hajafanyiwa hiyo kitu. Sent using...
5 Reactions
205 Replies
36K Views
Kuna umuhimu wa kuzungumza na wazee, hususani wenye busara juu ya matatizo na changamoto zetu, hasa hili la upungufu wa urijari. Wazee wana mbinu nyingi na wameishi miaka mingi,wanajua vitu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom