demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Habari wanajamvi?
Kwanini Mademu walio wengi ni wepesi kutoka na Jamaa mwingine tofauti na mtu wake pale kunapokuwa na sababu zisizo za msingi?
Kwa mfanio, utamkuta Demu ameachika na Jamaa jana, ila Baharia ukaingizia voko kesho yake na mwisho wa siku ukazawadiwa Tunda.
Au unakuta Jamaa amemkwaza (kumtia hasira) kidogo tu Demu wake. Ikatokea jamaa mwingine akaingiza voko zake katika kipindi hiko basi anazawadiwa Tunda.
Au utakuta Jamaa ame mchit Demu, Basi Demu atatafuta hata muuza vocha barabarani ili naye alipize kisasi.
Je ni salama kuwa na wazo la kuoa katika nyakati ambazo unajua mambo yakienda kombo kidogo mwenzako anagawa Tunda ili kukukomoa au kuondoa hasira zake?