Nyie wadada hamuoni Corona hii, acheni kuomba omba hela tulieni nyumbani

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kudate na mademu njaa njaa maskini ni taabu sana. Yani wanahisi sie wanaume tuna hela muda wote. Hawatambui hii Corona watu tumepunguza madili ya hela

Wadada nyie michepuko mnaoishi kwa kudanga danga tambueni kwamba hela tulizonazo kwa sasa ni kwa ajili ya kuhudumia familia zetu na si za kuhonga honga ovyo

Watu tunakaa majumbani saa hivi kuepuka Corona lakini nyie kutwa kutuma tuma msg kuomba hela. Binafsi naogopa kwenda kwenye mabanda ya m-pesa kutuma hela ,ila nyie wadada kutwa kuomba omba

Mnakera ,kama huna hela tulia nyumbani vizinga vizinga vya nini unataka hela ya kusukia huoni huko saloon utapata Corona wee chana nywele paka mafuta tulia home.

Acheni vizinga ,uchumi umebana hamuoni tu.
IMG_20200424_235015.jpg
 
View attachment 1436856
Me nikisema oh me mbaya😂😂😂
Bora umewaeleza mdogowangu 👏👏
 
Hudumia mkuu pesa zako unataka ziliwe na nani zaidi ya wanawake...kila mwanaume anatafuta zake au kuna wanaume unakula nao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom