Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Sio maneno yangu ni ya dogo mmoja anasoma Chuo😂😂😂🏃🏃
😂😂😂😂😂😂Jipange atakuwa ana mpango mbaya sana
Haiwezekani!
Me nikiwaambia wanaume mademu wasioomba hela wapo mnakataaKanisani? Kushuhudia umepata umepata demu asiye omba vocha /hela?
Huyo dogo kapitiwa na pepo wallah!
Ahaaahaaa nasubiri mrejesho wa shukrani 😀Me nikiwaambia wanaume mademu wasioomba hela wapo mnakataa
Si unaona dogo anaenda kutoa sadaka ya shukrani??
Tena kako p /school ya mapenzi
Siku akiombwa pesa ujue ya kiwanjaMe nikiwaambia wanaume mademu wasioomba hela wapo mnakataa
Si unaona dogo anaenda kutoa sadaka ya shukrani??
😂😂😂mwambie na yeye atulie sasa asiombe nanii