Hasara ya kumtuma mtu akutongozee

Hasara ya kumtuma mtu akutongozee

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Wanaume wengine bwana ni shida ingawa wanawake wapo pia lakini ni wachache sana ila wanaume wanaboa

Mwanaume John anaonyesha nia ya kukutaka lakini sijui ni kazi nyingi alizo nazo au ni kutojionyesha anamtuma Peter ambaye ni rafiki yake kuja kwangu kumtongozea

Peter anafika anakueleza basi unaonyesha response nzuri,poa tutaongea naye zaidi na unampa namba akampe badala yake Peter anafika huko anamwambia John yule demu kazengua balaa,hata hakuelewi baadae unaanza kuchat na Peter kuwa yeye ndo anakutaka na si John

Mnaongea na Peter hapo basi siku nyingine mnakutana na John anaanza kulalamika kuwa kwa nini hukunielewa,unamuuliza kivipi anakwambia "Nilimtuma Peter kuja kwako kuwa nakutaka akaja ukamzengua ile mbaya hadi akaondoka kichwa chini

Nikahisi kucheka,ungekuwa wewe ungemwambiaje John na ujue John na Peter ni marafiki wakubwa sana ambao kila mara unawaona pamoja

Wanaume acheni hizo tabia, unatumwa kumbe ndo umepata nafasi ya kujifanyia mpango badala ya aliyekutuma

Na wewe unayetuma bora uende mwenyewe
 
K" zipo nyingi mjini na rafiki wa dhati mpaka umpate ni shughuli

Hapo mie nitamwambia John alichokujibu Peter ndiyo majibu niliyompa then me nikikutana na Peter tena atapata vidonge vyake kwa alichokifanya kisha namuacha. Hiyo itasaidia John asije jenga uadui na rafiki ake kisa mie na Peter atabaki na aibu tu nafsini kwake.
 
Asante,nahisi hili jibu litafaa
 
Hata mi lazima nikengeuke kwa jinsi ulivyo mzuri hivyo hata malaika atanipiga banzi nikimtongozea mwengine wakati anachokihitaji peter nami nakihitaji😂😅
 
Haya mambo yalifanyika primary huko ndani ndani enzi hizo, bado kuna watu wanatumia hii mbinu?
 
Ivi kuna wanaume bado wanatongozewa? Nikiwa advance ilitokea ishu kama hii, rafiki yangu alinituma nimsaidie kwa dem flani ivi kilichojiri yule dem akasema kama ni mimi sawa ila kama ni yule fulani hapana me nakupenda wewe. Hadi leo hii sijawai mwambia jamaa nilimjibu tu nimeshindwa akapotezea. Siku izi ukipata namba tu mnawezana
 
Wanaume wengine bwana ni shida ingawa wanawake wapo pia lakini ni wachache sana ila wanaume wanaboa

Mwanaume John anaonyesha nia ya kukutaka lakini sijui ni kazi nyingi alizo nazo au ni kutojionyesha anamtuma Peter ambaye ni rafiki yake kuja kwangu kumtongozea

Peter anafika anakueleza basi unaonyesha response nzuri,poa tutaongea naye zaidi na unampa namba akampe badala yake Peter anafika huko anamwambia John yule demu kazengua balaa,hata hakuelewi baadae unaanza kuchat na Peter kuwa yeye ndo anakutaka na si John

Mnaongea na Peter hapo basi siku nyingine mnakutana na John anaanza kulalamika kuwa kwa nini hukunielewa,unamuuliza kivipi anakwambia "Nilimtuma Peter kuja kwako kuwa nakutaka akaja ukamzengua ile mbaya hadi akaondoka kichwa chini

Nikahisi kucheka,ungekuwa wewe ungemwambiaje John na ujue John na Peter ni marafiki wakubwa sana ambao kila mara unawaona pamoja

Wanaume acheni hizo tabia, unatumwa kumbe ndo umepata nafasi ya kujifanyia mpango badala ya aliyekutuma

Na wewe unayetuma bora uende mwenyewe
Nimekataa kuvaa usika wa mdada,
Ila naashum kama kuna mdada kanielewa, ila kashindwa kuniface na kamtuma shoga yake, na shoga yake akafanya kama pita, then siku akanieleza kama ya john,
Nitamwambia nilihisi ananitania tu, na kama mdada mwenyewe nimemwelewa namwambia kama yuko serious basi tu date tu.
 
Back
Top Bottom