Habarini wanajukwaa
Mtu mzima mwanaume mwenye makamo ya miaka 50+ anahitaji msichana umri 21-27 kwa mahusiano ya kudumu.
Vigezo vya muhimu uwe Dar es Salaam, elimu ya kidato cha 4 kushuka chini...
Wakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja...
Isee, siku zote nilijua haya maisha ndiyo anafurahia mke wangu, asubuhi naondoka naye nampitisha kazini, mimi huyo naenda zangu kazini.
Jioni mimi nawahi kutoka saa kumi yeye anachelewa anatoka...
Sijui ni dhiki ama ni tabia. Mabinti wengi wa kitanzania wanawaza pesa za mwanaume tu. Utasikia mwanaume lazima uwe na hela, maanaume asie na hela simtaki, sijui vitu gani.
Mabinti wengi wa...
Habari za siku, hope ya’all good.
Ladies nasikia March 8 ilikua ni siku ya wanawake Duniani, hongereni hata sikujua nimesikia tu kwenye radio. Nawapongeza pia kwa kupewa hadhi kubwa hapa duniani...
Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha hata siku moja katika mahusiano yenu, hata kama uko vizuri kiuchumi. Katika mapenzi yenu ya mwanzoni jishushe kabisa na asijue shughuli unayoifanya; hata...
Habari ladies and gentlemen, hope mko vizuri. Ok. Moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, miaka kama minne nyuma kuna binti alikuja kufanya field kazini kwetu kipindi hicho mimi ndio nilikuwa nina...
Habari za midaa hii wana jamvi,
Nitangulie kwa kuwapa pole ambao mama zao wametangulia mbele za haki (wapumzike kwa amani). Pia, wasio na mama ama wamelelewa na mama wa kufika (pia ni mama)...
Wakuu wasalaam,
Nimekuwa niliwaza kwa kina usiku huu wa leo baada ya kupatwa kwa mwezi
Nilichukua wasaa huo kuchukua tafakuri fupi juu ya hawa dada zetu.
Enzi za mwalimu wanaume tulikuwa...
Mtoto anakuja katika mazingira mengi. Wengi wangependa wazaliwe au wazae kwenye ndoa. Kuna wengine humuomba mume wa mtu azae naye tu kwakuwa anahitaji mtoto.
Wengine ni one night stand, mlienda...
Mwaka 2018 nilikutana na mwanamke mmoja ambae nilimpenda katika kijiji kimoja ambapo ndio makazi yangu kwa sasa, nilimpenda sana nikahitaji kumtupia kamba siku moja mwanaume nilijikaza nikamuita...
Wanajamii naombene ushauri. Nina rafiki angu wa kike tunapendana sana lakini sio mpenzi wangu, sasa anahitaji nimkopeshe 100,000/=
So nafaa nimpe au nimuache?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watangazaji Bebi Kabae na Hassan Ngoma wa Clouds tv leo wamemualika mchungaji Mitimingi aje atoe elimu ya namna ya kufanya tendo la ndoa na upungufu wa nguvu za kiume na kike.
Mitimingi ametoa...
Habari popote mlipo Wana Jf.
Kwanza nawasalimu wote kwa moyo mkunjufu wenye upendo Na Amani.
Niende moja kwa moja kwenye Mada.
Nimewaza sana hili jambo mrefu kwamba.Badala urafiki uishie tu hapa...
Wakuuu habarini za juma pili
Ni matumaini yangu mko pouwaa sanaa
Kuhusu mada hapo juu
Mimi ni mpangaji mitaa fulani hukubkwa mzaa Makonda, Tokea nimehamia hapa, nimekuwa nukipata changamoto...
Mahari imekuwa changamoto kubwa hapa mjini.
Kawaida mahari inatolewa na mume kama shukrani kwa wazazi wa mke kwa kumtunza binti yao hadi kuwa mkeo.
Kipindi hiko unapewa mtoto mbichiii na bikra...
Wakuu salam kwenu
Poleni kwa Covid-19
Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa
Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19
Nimetoka na...
Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona.
Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia...
Kuna msemo unasema usimuwekee mitego mingi ya kumfumania kama unajua huwezi kumuacha na unaipenda afya yako.
Mtu ulikuwa safari lakini unarudi nyumbani bila kusema Leo narudi , nini lengo ...
X wangu alisema tusitafutane tukaushiane ili tusahauliane, mimi nikaamua kumute nikaona anaanza kunitumia text kwenye no ambayo siijui. Akatuma text nikamwuliza nani hakujibu na mimi sikumtafuta...