Karibuni wote tujenge urafiki wa kudumu na kusaidiana

pokrei

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
510
454
Habari popote mlipo Wana Jf.
Kwanza nawasalimu wote kwa moyo mkunjufu wenye upendo Na Amani.

Niende moja kwa moja kwenye Mada.

Nimewaza sana hili jambo mrefu kwamba.Badala urafiki uishie tu hapa hapa au humu humu Jf Basi nije Na wazo la kuanzisha umoja wa wana Jf(Watakaopenda)

Dhumuni kuu.

Kujenga undugu Na urafiki wa kudumu.Bila kubagua MTU yeyote hasa kwa wakazi waliopo Dar au nje ya Dar.

Cha kufanya.Kwa MTU yeyote unakaribishwa kuja Pm Na kujuana zaidi pia huko Pm Tutapanga mipango mingi ikiwepo ya kukutana wapi Na kwa mwezi Mara ngapi (KUYAJENGA.)

Chama hiki kitalenga sana kusaidiana wakati wa Raha Na Shida hata Kimawazo Na maendeleo ya mmoja mmoja Na ya kwa Pamoja.(Huna haja tena ya kulalamika eti mwaka wa Tatu huna ajira.Take this chance.

Amini usiamini kuna watu Hata hapa ninapoandika wanapitia changamoto nyingi sana Na kwa upweke au kukosa watu sahihi wa kuwakimbilia Na kuwashirikisha magumu yao wamebaki wakijifungia ndani Na mwisho kusononeka tu Na kupata magonjwa ya Sonona Na hii inachangiwa sana Na ukosefu wa ajira au shughuri za kufanya lengo kuwa busy Na vitu vya kutupatia maendeleo.Na INAWEZEKANA..

Faida ya hiki chama .
Kutakuwa Na fursa ya Ku connect watu Na fursa mbali mbali pia kuunganisha Hata kazi kwenye Kampuni au mashirika mbali mbali kutokana Na Experience ya mhusika.TutaTutashirikiana.Au uliyefanikiwa kwa jambo Fulani uliwezaje kupanuana ufahamu.Tusiwe wachoyo kuwainua wengine nao wafike juu.
Naamini wengi wetu humu ni watu wa fani Tofauti.Wengine wana makampuni.Wengine wana ujuzi mbali mbali wanakosa Connection..We will make it happen.

Sasa huu ni wakati wako wa kupata hitaji lako Na kutoka Na kupata maendeleo pia kujipandisha thamani yako.

Kuna haya mambo ya kusaidiana mitaji ya Biashara.Tutawezesha hili kufanikiwa.

Kikubwa MTU anayehitaji aweke plan ya Biashara anayotaka kuianzisha mipango yake Na jinsi atakavyoanzisha.
Pia Ataje kiasi cha mtaji..
Kwa awamu tutawezeshana.
Natamani sana Chama hiki kiwe cha msaada Na kuwezesha Kiuchumi.
Naamini Mkikutana watu wenye Positive minds Na kuamua kuwezeshana kwa moyo mmoja bila kuingiza Ubinafsi ndani yake kila mmoja atanufaika Na kuondoa misongo Ya Mawazo kwani kila MTU atafanikiwa kwa namna ya kuweza kuisaidia Hata jamii inayomzunguka

Namna ya jambo hili litakavyofanikiwa.
Yataundwa Magroup mbali mbali Na Kamati mbali mbali zitaundwa Na kila Group litakuwa Na viongozi wake.
Na pia Litaundwa Group la Viongozi ambao watakuwa wanacontrol hayo Magroup kutatua changamoto Na kuwezesha Magroup hayo kufanikiwa.

Mimi Binafsi naamini hakuna jambo lisilowezekana.Ni kuamua kuwa Na ile spirit ya INAWEZEKANA

Pia tukumbuke kwa umoja wetu tunaweza kuwekeza Hata kwenye kilimo cha kisasa Na tukijipanga vyema Kwa umoja wetu tutapata njia ya kulifanikisha hili mikopo Sasa ni Mingi. Mkiwa kwa vikundi ni Kutengeneza katiba tu.
Hayo ni Mawazo yangu lakini kama kuna mwenye Kuboresha zaidi Anakaribishwa Pm.
Remember human being is a Big Asset than money..
Let us start.Changes begins with you..
Together as One.
Only positive minds needed here.
Karibuni Pm.
Thank you.
 
Labda na mimi kupitia huu uzi ntang'oleaa mtoto mkalii
;(huwezi jua):D:D:D
Naamini umesoma kwa makini.
Ni Uzi wa kuinuana kimaendeleo
Yaani tufike mbali.
Ina INAWEZEKANA.
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Kitu kizuri Sana Umewaza Ngoja Wadau Waje Tujadili Mtaji mkubwa kuliko wote ni Kuwa Na Marafiki Wazuri
Ubarikiwe.Na hasa hili ndio wazo lenyewe.
Pia kwa wenye wasiwasi wowote hiki ni kitu cha maendeleo kwa wote.
Unaweza to a mchango wako wa Kimawazo hapa hapa bila Kuja Pm
Mana ya Pm ni Yale ambayo MTU asiyependa kuyaanika hapa kuja pm Na kuliwezesha jambo hili.
Nia ni njema kwa wote.
Najua jambo kama hili sio wote wenye kuliona in Positive way..
But sitakata tamaa mana ndani yangu Nina Mawazo Chanya.
 
wazo lako ni zuri,lakini lishafanywa before(kilimo) na ikashindikana…
Aksante kwa ushauri.Tutachukua mapungufu ya wenzetu waliposhindwa Na kuyafanyia kazi.
Mfano.
Mimi nipo Mahali ambapo nikipata watu wenye nia Basi kuunganisha Na mikopo ni rahisi.
Mana mtaji Ndo kikwazo.
Amini sio kila jambo linaloshindikana
Mfano Wapo walioanzisha shule zikakua Na Wapo walioanzisha zikafeli.
Mara nyingi tusitizame kwenye kufeli kwa jambo Bali tutumie kufeli kwao kujifunza wapi walikosea
So napenda uniambie walikosea wapi.Tulifanyie kazi
 
Nadhan jambo ili lishafanywa lakini halikufua dafu hata kdgo kwa kupitia mada humu jf.. Kwahyo weng wao wanaona kuwapata humu ni rahisi kuliko nje ya jf.
Let us start again.Nakuhakikishia Hata Biashara kubwa kubwa au watu waliofanikiwa Leo walifeli au kuanguka Mara nyingi lakini hawakukata tamaa waliamini IPO siku.
 
Back
Top Bottom