Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Mwaka 2018 nilikutana na mwanamke mmoja ambae nilimpenda katika kijiji kimoja ambapo ndio makazi yangu kwa sasa, nilimpenda sana nikahitaji kumtupia kamba siku moja mwanaume nilijikaza nikamuita home aje tuongee lakini sikufanikisha, tuliishia kuonana tu.
Kesho yake nilikutana naye mtaani nikaongea nae mawili matatu lakini hatukufikia muafaka, sikujua kama ataondoka ghafla kwani nilisikia tu kaenda kwa mamdogo wake Moshi.
Baada ya miezi kupita nilisikia mwezi wa 12 mwaka huu anarudi na mimi nikasema isiwe kesi nikatafuti namba yake.
Tulianza mahusiano kwa kuzani anakuja, kiukweli alikuwa ananitafuta sana kila mara anani call, anapga simu mpaka nakosa chakuongea au mimi nampgia na kila mara anahitaji tuongee tu, sasa sijui hana kazi za kufanya?
Siku zimeenda sioni dalili za kuja, siku moja nikamgusia nakumpa ma tecnique ili aje, lakini akasema nanyimwa nauli, nikasema isiwe kesi nauli natuma na ya kutolea ambapo tuliahidiana nae aje leo lakini visingizio ni mamaake mdogo anamkataza na kila siku kalenda japo sijatuma na ya kutolea.
Msichana anagoma kuja japo kila mara anapiga na kutaka kuongea nami sasa nimekata kamba sipokei wala sijibu sms kwani long distance siiwezi kabisaaa
Nipeni ushauri, nimpotezee?