Mchungaji Mitimingi: Kibamia siyo tatizo la mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke kingono

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Watangazaji Bebi Kabae na Hassan Ngoma wa Clouds tv leo wamemualika mchungaji Mitimingi aje atoe elimu ya namna ya kufanya tendo la ndoa na upungufu wa nguvu za kiume na kike.

Mitimingi ametoa darasa la kutosha kwa watangazaji hawa wawili walio katika mfungo wa Ramadhani ikiwemo madhara ya kunyonya sehemu za siri(kwa mwanamke na mwanaume) na kulainisha uke na mate.

Hassan alitaka kujua madhara ya wanaume wenye " kibamia" wakati wa tendo la ndoa, mchungaji amesema kibamia hakina tatizo lolote ilimradi tu kiwe na afya.

Ramadan Kareem Clouds tv
 
Back
Top Bottom