Which is which?

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
X wangu alisema tusitafutane tukaushiane ili tusahauliane, mimi nikaamua kumute nikaona anaanza kunitumia text kwenye no ambayo siijui. Akatuma text nikamwuliza nani hakujibu na mimi sikumtafuta nikakausha jana katuma tena text hellow nikamwuliza nani akajitambulisha.

Nimemmutia hadi saizi na sina mpango wa kumtafuta ungekuwa wewe ungefanyaje mtu alikuambia msitafutane wala nisitume text ataziona babie wake wa saizi.
 
Kwani aliua? Binadamu huwa tunatoa Maneno makali wakati tukigombana lakini baada ya muda unagundua ulikosea. Sasa wewe unachofanya ni utoto, pokea sim chati nae umsikilize anasemaje na umfariji. Au mnapenda kusoma neno Tanzia kila Siku? Akijinyonga je? Hebu msikilize huenda ameagizwa jambo na mjomba wako wa Madibira.
 
Kuna ka HIV amekudownlodia anataka akupe

Sent using Gun Trigger
 
Kwani aliua? Binadamu huwa tunatoa Maneno makali wakati tukigombana lakini baada ya muda unagundua ulikosea. Sasa wewe unachofanya ni utoto, pokea sim chati nae umsikilize anasemaje na umfariji. Au mnapenda kusoma neno Tanzia kila Siku? Akijinyonga je? Hebu msikilize huenda ameagizwa jambo na mjomba wako wa Madibira.
Eti madibira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba mpunga wake upo tiyari, arudi kuvuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom