Nimezaa na mdada flani hivi lakini tunaishi mbalimbali Kila mmoja na shuhuli zake. Yeye ni mjasiliamali na Mimi ni mwajiriwa.
Baada ya kusumbuana kuhusu matumizi ya mtoto ndipo nilipomshauri...
Habar ya swaumu wakulungwa
Baada ya salamu naomba tujuzane ulikuwa ukihisi nini au kufikiria nini baada ya kukubaliwa kwa mara ya kwanza na mwanamke au mwanaume uliyekuwa unamfukuzia siku nyingi...
Kuna siku moja nilienda kutembelea mkoa wa Tanga, sasa ile mida ya jioni by saa moja hivi usiku nikasema ngoja nitembee tembee kwa miguu ili niweze kuufahamu mji vizuri. Katika mizunguko yangu...
Imenilazimu kufungua akaunti mpya kwa sababu nyingi kidogo. Moja kwa moja kwenye matatizo yanayonisibu, huyu bwana niko naye muda wa miaka karibu minne sasa ila tunakaa mikoa tofauti mimi niko Dar...
Habari, natafuta mke wa kuoa,
awe daktari/au anaefanya kazi kwenye medical field (sio nursing)
mwembamba
Miaka hadi 28
Awe anakaa na ni raia wa TZ
Asiwe mke wa mtu au asiwe na mtoto au aliewahi...
Ninayempenda hanipendi.
Okey lakini habari zenu. Maisha bwana... Yaani yule ambaye unpenda Wala Hana time na wewe.
Kwanini nasema hivyo.
1. Kwanza hanitafuti mpaka nimtafute Mimi.
2. Hata...
Habari zenuuuu
Swali ndio kama hilo, Nakumbuka ilikua mwaka 2012 nilikutana na kijana mtanashati sana, handsome, Yaani ukimwangalia anavutia kwakweli. kukutana kwetu ilikua katika mazingira ya...
Bhandugu salaam!
Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.
Lakini tangu mwaka jana February mume wangu...
Juzi ilikuwa Ni Birthday ya mpenzi wangu,Basi jana nikamwambia apitie maghetoni aje achukue zawadi yake nimemwandalia
Kutokana na shauku aliyokuwa nayo jana saa2 asubuhi akanipia simu...
Nilikuwa na mwanangu leo akawa ananiambia mama, naomba ongea na wanao hasa hawa warembo. Unamkuta Mrembo ameweka picha Facebook au Instagram au whatsapp Kwa profile picha ameweka matako hapo...
Imagine unarudi nyumbani tu kutoka mihangaiko hata kukaa hujakaa unakutana na ukaribisho kua anaomba shilingi mia aongezee akanunue sukari kweli?
Na muda huo sio kama hana hela kabisa, unajua...
Wakuu naandika haha huku moyoni Nikita na uchungu sana kwa. Kweli.
Hapa mitaani ninapokaa kuna baadhi ya wamama wakiwa na watoto wao wadogo waliotelekezwa na waume zao wanateseka sana hapa...
Takriban miezi 6 sasa natumia Telegram kwa ajili ya masuala fulani ila baada ya kujiunga nilitumiwa link na mshikaji wangu nami nikajiunga kwenye group moja la [emoji725] najua mnaelewa.
Sasa...
Habari wakuu!?
Hili Dubwana Corona linajifanya mwalimu dunia, badala yakufunza linaadhibu, yaani linajifanya kugusa kila nyanja halijui kuruka hili, limetuvamia hadi Mabaharia!!eti limepenya...
Siri ndani ya ndoa ni chanzo cha matatizo
Unakuta mmoja wapo ndani ya ndoa anafanya mambo yake kwa kisiri, hasa yanayogarimu pesa bila kumshirikisha mwenzake. Mwingine inafikia hatua anajenga...
Wakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie niliyeamua...
“In my 35 years of study as a psychologist, there is only one thing I cannot really understand and that is, what does a woman really want?” — Sigmund Freud
Sigmund Freud is a famous and renowned...
Poleni sana na janga linalowakumba TZ kitalaamu likiitwa changamoto ya upumuiji.
Katika pitapita zangu kwenye majukwaa pendwa MMU na CHIT CHAT ili kutumiza yale yote anayonituma ibilisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.