Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha hata siku moja katika mahusiano yenu, hata kama uko vizuri kiuchumi. Katika mapenzi yenu ya mwanzoni jishushe kabisa na asijue shughuli unayoifanya; hata kama una magari na majumba, usijionyeshe kabisa.
Unaweza kumwambia unafundisha chekechea, shule ya msingi, mshona viatu, mzibua vyoo n.k ili upate uhakika wa anachokupendea.
Je, anakupendea kazi, pesa au anakupenda jinsi ulivyo.
Unaweza kumwambia unafundisha chekechea, shule ya msingi, mshona viatu, mzibua vyoo n.k ili upate uhakika wa anachokupendea.
Je, anakupendea kazi, pesa au anakupenda jinsi ulivyo.