Key point “some women” not all

brenda18

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,687
5,268
IMG_6355.JPG
 
mimi nimeshavuka stage nawapigia debe wadogo zangu chukua ujumbe mengine yaache
natamani niwashauri madogo waoe single mummy hawa ni wake wazuri zaidi
  • kwanza wengi ni waoga na wametoa mimba chache
  • wakijengewa mazingira ya kupendwa na kuaminiwa ni waaminifu sana
  • wanaadabu
  • wanaona sadaka ya mwanaume kujitoa kwa kuwaoa wao
 
Duh ,ngoja waje wahusika waone huu ushauri
 
wakubali wapi? wakati wanaangalia tako utafikiri wanakazi nalo.
hawaangalii mwanamke anaongea nini na anaweza kukufikisha wapi, hawapo tayari kumuona mwanamke kama meneja anayetakiwa kukufanya wewe mwenye mali uwe tajiri. kwakuwa na watoto,afya nzuri ,furaha na upendo siku zote.
 
natamani niwashauri madogo waoe single mummy hawa ni wake wazuri zaidi
  • kwanza wengi ni waoga na wametoa mimba chache
  • wakijengewa mazingira ya kupendwa na kuaminiwa ni waaminifu sana
  • wanaadabu
  • wanaona sadaka ya mwanaume kujitoa kwa kuwaoa wao
Mdogo wangu acha ujinga huo. Usiombe kumuoa single mother.
Ni mateso matupu hakuna uafadhali hata.

Nilishawahi kuwa na single mother mwenye watoto watatu yaani ilikuwa taabu ada ya shule alitaka nilipe Mimi, hao watoto wakiumwa ni mimi ndiyo Nilikuwa nawahudumia hawana nguo za kuvaa anataka niwanunulie.

Mwisho wa siku hautajijenga hata siku moja utaishia kusomesha na kuwahudumia watoto wa mwanaume mwenzako. Siku watoto wakifanikiwa hakika utafukuzwa toka kwenye nyumba yako hata kama uliijenga wewe.
 
Ni kweli,ila vitu vingine unaweza fanya kama sadaka tu
 
Mwanamke amebeba nyota ya mafanikio ya mumewe
Inaaminika kuwa wakina dada wamebeba mafanikio ya waume zao na ndio sababu wanatakiwa kutojihusisha na tendo la ndoa na mtu yeyote isipokuwa mume wake

Mfano,Ikiaminika kuwa nyota ya mafanikio ya Mwanaume iko katika ubikra pale tendo la ndoa linapofanyika kwa Mara ya kwanza na mume wake anaiachilia hiyo baraka kwake..hii ni moja ya sababu kwa Nini apatae mke apata kitu chema apata kibali kwa Bwana

Source mwal..T.mwakyembe
 
Mdogo wangu acha ujinga huo. Usiombe kumuoa single mother.
Ni mateso matupu hakuna uafadhali hata.

Nilishawahi kuwa na single mother mwenye watoto watatu yaani ilikuwa taabu ada ya shule alitaka nilipe Mimi, hao watoto wakiumwa ni mimi ndiyo Nilikuwa nawahudumia hawana nguo za kuvaa anataka niwanunulie.

Mwisho wa siku hautajijenga hata siku moja utaishia kusomesha na kuwahudumia watoto wa mwanaume mwenzako. Siku watoto wakifanikiwa hakika utafukuzwa toka kwenye nyumba yako hata kama uliijenga wewe.
Duuh..mwanangu huyo alikuwa ni kizibo hasa halafu ni jobless.
 
Back
Top Bottom