Why is it sex first marriage next?

Humayra

Senior Member
Apr 25, 2020
130
152
Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.

Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.

Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
 
Hivi ule usemi wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia huwa unauchukulia poa..??
Aloo siwezi kukubali hata wewe mboga huwa unaipika huku unaonja ili ujue inafaa kuliwa au vipi..

Wanaume hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia!
Ndio maana tunaanza kwanza kupima ithibati ikoje.. Tena ikibidi nadunga na mimba ili nijue hii mwanamke inatoa kopi za aina gani...😂😅
 
😅😅😅ushanishinda tabia
 
Ndio maana tunaanza kwanza kupima ithibati ikoje.. Tena ikibidi nadunga na mimba ili nijue hii mwanamke inatoa kopi za aina gani...

kwahiyo mkuu kanuni hii ni kwa wale ambao ni used tu au hata walio "sealed"?
 
Wala sio tatizo! Ni hali ya kawaida kabisa kabisa kutokana na mabadiliko ya tamaduni na hali ya dunia kwa sasa

Hata hivyo kuna namna mnatakiwa kufanya kabla hamjaanza kupeana hilo tunda tamu na wakati mnaendelea kupeana bila kuwa na hatimiliki ili msijisahau

Usiseme mbona zamani iliwezekana kuoana kabla ya kufanya! Kabla ya kusema hivyo jiulize yafuatayo:-

1. Zamani hizo watu walioana wakiwa na umri gani? Mwanamke alifikisha miaka ishirini kabla hajaolewa? Wachache sana! Kwa sasa je?

2. Ni rahisi mwanamke kufika miaka 25, 28, 30+ kwa mazingira ya sasa bila kuonja utamu? Kama wapo kati ya 10 ni wangapi? Kama uliwahi kufanya na hukua umeolewa sasa hivi imekuwaje ugome?

3. Sababu nyingine ni kwamba siku hizi watu wanaanza sex mapema sana! Katoto kako darasa la tano lakini kameshajua kuvua chupi mbele ya mwanaume. Hii inawanyima confidence ya kukataa kuvua chupi kwa anayekuja na gia ya kukuoa

4. Mwisho kabisa ndoa sio kwenda kufanya sex tu! Ni zaidi ya hapo. Tambua kwamba hata msex mara ngapi, hata msisex ukambania au yeye akajizuia, kama alivutwa na sex pekee ya kufikia uamuzi wa kukuoa bado hamtafikia kilele cha utamu wa ndoa

Note: huu sio ushauri wa kwamba muanzia kuvuana kabla hamjaoana! Dini zote zinakataza ila za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom