Njia nyepesi ya kupata mke mwema

Njia nyepesi ya kupata mke mwema

TRANSPONDER

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
400
Reaction score
1,019
Habari wakuu,

Ni jumamosi tulivu bila taarifa mpya ya Visa vya Corona. Tunazidi kuondoa hofu ya ugonjwa huu hata barakoa hatubadilishi tena.

Niende moja kwa moja kwenye Swali, Hivi ni njia gani nyepesi ya kupata mke mwema? Yaani yule mke wa sogea tukae ambaye anaamini mume ana nafasi kubwa sana kuliko wazazi kwenye ndoa.

Mke mnyenyekevu na mchamungu, asiyeyumbishwa na wachungaji wajasiriamali, asiyejipendekeza kwa mabosi zake, yaani mke asiye na tamaa.

Wapi wanapatikana kwa urahisi?

Mke asiyejua club, hajawahi kudanga, haigizi maisha

Mke mwenye bidii ya kazi na roho nyeupe, amejaa upendo kwa watu wote.

Mke mkarimu, hajui tusi wala kilevi, ana sura ya kike na mwili wa kike, mke kijana hajatumia Ujana vibaya wala hajafika 30

Mke anayekula kwa kiasi na mazoezi kidogo, hana mafuta ya hovyo wala manyama uzembe

Mke anayejua maisha ni kutafuta, tunaanzia popote

Mke ambaye dunia haijamuacha nyuma anajua ongoing issues ña ana degree ya kweli sio chura pekee

Wapi anapatikana kwa urahisi?

Kama yupo mwambie vijana tunamtafuta, kama Kuna sehemu wanapatikana mtuambie tukawachukue.

Nawasilisha swali langu, samahani kwa uandishi mbaya ni madhara ya kusoma sayansi nchini
 
Kiufupi ktk macho ya kibinaadam huwezi jua yupi mke au mume sahihi hapo ni kudra za Allah akujalie tu, lkn mpaka sasa nimeamini huwezi kumpata mwanamke mwenye sifa zoooote utakazo ,awe na elimu ya huu ,awe mnyenyekevu , hajautumia ujana sana, awe hana tamaaa, nk hapo utatafuta sana na mwisho WA cku utaonekana ww ndio shida, swali la kujiuliza je ww umetulia? Je ww huna tamaaa? Je ww mcha mungu? Maana unatafuta mwanmke asiekuwa na tamaa na ukimpata bado ww unakuwa na tamaaa ya wanawake wengine why?

Usitafute mwanamke mtiiifu ikiwa wewe sio mtiifu*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Taratibu Utapata Ikumbuke Ndoa Zote Hazifanani
Nje Ukiwaona Wanacheka, Ndani Mioyo Imeinama

Unaona Watu Maarufu Sana Duniani Hata Hapa Nyumbani Wengine Ndoa Zao Shida
Unamkuta Mtu Kijijini Ama Sehemu Nyingine Ana Amani Kwenye Ndoa Yake.

Taratibu Utapata Ila Hakuna Kanuni Popote!!
Mchungaji Anaweza Kuzaa Mtoto Akawa Muhuni
 
Taratibu, unamaanisha kuomba na subira?
 
Mkuu kachonge sanamu tu au itumie sayansi yako kuunda liroboti la kike lenye hvyo vigezo vyote unavyovihitaji.

Kwa hali ya kawaida ni ngumu kumpata mtu wa hivyo na sidhani kama yupo mtu ambae 100% anafit kwenye kila kigezo ulichotaja, HAIWEZEKANI.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tanzania naamini bado hawajaisha acha nisubiri wadau watawataja tu
 
Tanzania naamini bado hawajaisha acha nisubiri wadau watawataja tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Subiri wanakuja ila mkuu umenifurahisha sana eti hana mafuta wala manyama uzembe [emoji23][emoji38] Mungu akupi vyote na hakunyimi vyote ila anakupa kwa kiasi ndio maana nasema huyo unaemtafuta hayupo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Subiri wanakuja ila mkuu umenifurahisha sana eti hana mafuta wala manyama uzembe [emoji23][emoji38] Mungu akupi vyote na hakunyimi vyote ila anakupa kwa kiasi ndio maana nasema huyo unaemtafuta hayupo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahhaa hapo unaongezea asiwe kimbao mbao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom